#COVID19 Waziri Gwajima: Watu 7 kati ya watu 10 wanaokufa kwa Corona wanakuwa hawajachanjwa 3 tu ndio wamechanjwa!

Watu tumechemshwa na jasho la malimao mpaka ngozi ya mwili imebabuka kwa maagizo ya yule jamaa matokeo yake nae mzigo ukamuondoa. Aisee
 
Aisehh...
 

Ukweli mtupu lakini kuna Watanzania hata data watazikataa😂 . Kuna watu wanapenda kutunga tu. Ubishi ni sifa kwa wengine
 

Tunabahatisha au tuna dhumuni gani haswa???
 

Bepari Nakukubali sana Mkuu
Mkuu samahani naomba unielimishe na wengine wajue kaka[emoji116]

Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.

Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa Mpaka sasa,
1. Je akiugua Corona sasa hivi atakuwa ameugua corona ipi? Ile ya Kwanza, Ya Pili ya Tatu au hii Omicroni?

2. Je ina Maana Zile Corona na Mwanzo Hazipo? Kama Zipo Zina Nguvu ya Kuwashambulia watu wasiochanjwa?
Kama Hazina Nguvu sasa Wasiochanjwa wamepata Kinga ya Mwili?

3.Hii Omicron na Yenyewe Kuna watu wamepata Mafua na Homa za Hapa na Pale na Wanaendelea Ku recover na Hawajachanjwa sasa Baadae Wakihitajika Kuchanjwa? Wanachanjwa kwa ajili ya wimbi lipi?
Kuanzia La Kwanza? Au hili la Sasa hivi?
Naomba Majibu wataalam!
 
Ukijibiwa,nitag Plse
 
Dah! Sjui huwa inakuwaje watu kama hawa wanapata vyeo!!!

Mtu anaongea ujinga wa wazi lkn yumo tu! Sema mama ana figure nzuri kishenzi,nimekutana naye mara nyingi japo sura kavu sema yuko vizuri.
 
Anataka kusema kuwa kila watu 10 wanaopata korona wanakufa
 
Naenda kupiga sankuda ,majibu nitayakita badae! Nahisi utaambulia matusi ahahahaha
 
Kwa nn hao watatu waliochanjwa wafe? C walituaminisha kwamba ukichanja madhara hayawi makubwa?

Na tunaaminije kwamba hizi takwimu ni kweli huku tukijua viongozi wetu wakiwa wataalamu wakubwa wa kupika takwimu?
 
This thing requires no politics but rather a professional approach.
Engage politics into such matters makes every effort seemingly irrelevant/unimportant as they will mostly being taken in a negative way.
 
Idadi ya wasiochanjwa ni wangapi kati yao wanakufa wangapi? idadi ya waliochanjwa ni ngapi kati yao wana kufa wangapi? tuanzie hapo
 
Mbona hii hesabu mbaya kwa waliochanja? Ikiwa Watanzania waliochanja ni asilia si zaidi ya 3, watu 10 wanaokufa covid, 7 ( asilimia 97) ni ambao hawajachanja na 3 (asilimia 3) hawajachanja) ina maana wanakufa wengi waliochanjwa kuliko ambao hawajachanjwa. Kwani madaktari hawafundishwi hesabu au kosa ni kuwa daktari mwanasiasa?
 
Majibu yake..yamechanganya watu zaidi kuliko angekaa kimyaa.. jibu la watatu kufa ni kujibu kuwa kuchanjwa sio jibu ama tiba ya Corona..hivyo tukomae Nature iseme basi!!
Yeah hapa kuna kitu umenena,kama ni kweli watu 3 waliochanjwa hufa katika watu kumi wenyekuugua COVID 19,basi chanjo siyo kitu cha kukimbilia,Siri imefichuka,wananchi wwnzangu tuchukue hatua.
 
waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi

 
Hawa ma doctor ambao ni Wanasiasa wa kijani na njano huwa Sina imani nao kabisa. Kiwatokacho mdomoni, sicho kilicho moyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…