Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Kwani umelazimishwa mzee .endelea kujifukiza bana usisumbuwe watu hapaHao watatu kwa nini wanakufa??? Sichanji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani umelazimishwa mzee .endelea kujifukiza bana usisumbuwe watu hapaHao watatu kwa nini wanakufa??? Sichanji...
Aisehh...Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Nadhani maelezo ya huyo mwafrika hayako inline na ya Dr Fauci. Mtu aliekuwa vaccinated (aliechanjwa) anaweza kutransmit corona na anaweza pia kuwa mgonjwa, tofauti yake iko kwenye critical levels zao ni tofauti.
Aliekuwa unvacinated yuko kiufupi hatarini au kupata corona na kuwa mgonjwa wa kulazwa hospitali na mitungi ya oxygen, wakati aliekuwa vacinated akawa na kijihoma kidogo na kuendelea na shughuli zake siku mbili tatu baadae.
Kitu kimoja ambacho ni fact, suala hili linadeal na virus. Nadhani hakuna njia ya kuwa na kinga ya 100%, ukipiga dozi 2 anaibuka omicron unaambiwa uongeze dozi. Worst case inaweza kuja version/variant ambayo vacine haijacover completely.
Kwa wanaofahamu hili suala la virus na vaccine sio jipya katika jamii na dunia kwa ujumla.
Shida inaanzia kwa mteuajiUnaweza kupima umakini wa Uongozi kwamba huyu bado ni Waziri wa Afya.
Dawa za Ukimwi mnabugia kila siku hamuogopi lakini chanjo za corona ndiyo mnaziogopa? Chanjeni ili msije mkatengeneza variant mpya na sisi tukapigwa travel ban kama wenzetu wa Afrika Kusini. Nyerere angekuwa hai angewatukana sana nyie mnaopinga chanjo.
Ukijibiwa,nitag PlseBepari Nakukubali sana Mkuu
Mkuu samahani naomba unielimishe na wengine wajue kaka[emoji116]
Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa Mpaka sasa,
1. Je akiugua Corona sasa hivi atakuwa ameugua corona ipi? Ile ya Kwanza, Ya Pili ya Tatu au hii Omicroni?
2. Je ina Maana Zile Corona na Mwanzo Hazipo? Kama Zipo Zina Nguvu ya Kuwashambulia watu wasiochanjwa?
Kama Hazina Nguvu sasa Wasiochanjwa wamepata Kinga ya Mwili?
3.Hii Omicron na Yenyewe Kuna watu wamepata Mafua na Homa za Hapa na Pale na Wanaendelea Ku recover na Hawajachanjwa sasa Baadae Wakihitajika Kuchanjwa? Wanachanjwa kwa ajili ya wimbi lipi?
Kuanzia La Kwanza? Au hili la Sasa hivi?
Naomba Majibu wataalam!
Naenda kupiga sankuda ,majibu nitayakita badae! Nahisi utaambulia matusi ahahahahaBepari Nakukubali sana Mkuu
Mkuu samahani naomba unielimishe na wengine wajue kaka[emoji116]
Naomba Kuuliza maswali ya Mtu nisielewa Kuhusu Afya na Kirusi,
Naomba Msinicheke...
Nahitaji Elimu wandugu.
Naomba Kuuliza kwa wataalam:
Hivi Kama Mtu hajachanjwa Mpaka sasa,
1. Je akiugua Corona sasa hivi atakuwa ameugua corona ipi? Ile ya Kwanza, Ya Pili ya Tatu au hii Omicroni?
2. Je ina Maana Zile Corona na Mwanzo Hazipo? Kama Zipo Zina Nguvu ya Kuwashambulia watu wasiochanjwa?
Kama Hazina Nguvu sasa Wasiochanjwa wamepata Kinga ya Mwili?
3.Hii Omicron na Yenyewe Kuna watu wamepata Mafua na Homa za Hapa na Pale na Wanaendelea Ku recover na Hawajachanjwa sasa Baadae Wakihitajika Kuchanjwa? Wanachanjwa kwa ajili ya wimbi lipi?
Kuanzia La Kwanza? Au hili la Sasa hivi?
Naomba Majibu wataalam!
Mbona hii hesabu mbaya kwa waliochanja? Ikiwa Watanzania waliochanja ni asilia si zaidi ya 3, watu 10 wanaokufa covid, 7 ( asilimia 97) ni ambao hawajachanja na 3 (asilimia 3) hawajachanja) ina maana wanakufa wengi waliochanjwa kuliko ambao hawajachanjwa. Kwani madaktari hawafundishwi hesabu au kosa ni kuwa daktari mwanasiasa?Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari
Yeah hapa kuna kitu umenena,kama ni kweli watu 3 waliochanjwa hufa katika watu kumi wenyekuugua COVID 19,basi chanjo siyo kitu cha kukimbilia,Siri imefichuka,wananchi wwnzangu tuchukue hatua.Majibu yake..yamechanganya watu zaidi kuliko angekaa kimyaa.. jibu la watatu kufa ni kujibu kuwa kuchanjwa sio jibu ama tiba ya Corona..hivyo tukomae Nature iseme basi!!
waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi
Hawa ma doctor ambao ni Wanasiasa wa kijani na njano huwa Sina imani nao kabisa. Kiwatokacho mdomoni, sicho kilicho moyoni.Waziri wa afya Dr Gwajima amesema katika watu 10 wanaokufa kwa ugonjwa wa Corona 7 wanakuwa hawajachanjwa na 3 tu ndio waliochanjwa.
Utafiti unaonyesha hata hao watatu waliochanjwa hufariki kwa sababu huwa na magonjwa mengine nyemelezi.
Source: ITV habari