figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam
Kama Hamad Yussuf Masauni akigoma kujiuzulu, Rais Samia itabidi afumbe macho atengue uteuzi wake sababu ni aibu kwa mtu anayejiita Muislam safi, watu wanapiga, wanategwa na kuuliwa lakini anakosa hata roho ya kusema pole.
Mheshimiwa Hamad M Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani
Kisiasa Hamad Yussuf Masauni inamlazimu ajiuzulu. Ni aibu, fedheha. Ana naibu Waziri Mheshimiwa Daniel Baran Sillo, na Makatibu Wakuu wawili ambao Ally Senga Gugu (Katibu Mkuu), na Dr. Maduhu I. Kazi (Naibu Katibu Mkuu)
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro tulimuonya kwamba Dar es Salaam ngumu akabisha. Size yake ni huko Itigi, Nangurukuru au Mchina.
IGP Camillus Mongoso Wambura ndo level ya Watu wanaotakiwa kuiongoza Kanda Maalum ya Dar Es Salaam.
Pole sana Rais Wetu Mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu.
Soma Pia: Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni aitisha Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi
Unaowaamini na kuwapa vyeo kwa nia njema ya falsafa yako ya R4 ndo hao hao wanakung'ong'a.