Waziri Hamad Yussuf Masauni, jiuzulu kumpunguzia Mzigo rais Samia. Anakuonea aibu

Waziri Hamad Yussuf Masauni, jiuzulu kumpunguzia Mzigo rais Samia. Anakuonea aibu

Mtizamo wangu wazuri masauni jiuzulubili ulinde status ya mama Samia,Kama ambavyo alifanya mwinyi kipindi Cha Nyerere,nasema hivi kwa sababu Kama Raisi anaitaka kuendeleza kugombea ili image yake isichafuke,masauni nashauri ujiuzulu kulinda a sort of accountability,ya mama,.mtego wa kisiasa mnaojiwekea Sasa hivi ni kuwa utafika kipindi Cha uchaguzi,na Hali itachafuka Sana ,yatakapoanza. Kuvurumishwa makombora ya kisiasa,Sasa kwenye ccm wake ambao watakuwa wamekoswa nafasi za kuteuliwa ,yatajiondoa kundi kubwa Sana kuhamia upinzani,Hali hii unaweza kumpa taharuki kubwa Sana mama Samia Kama atakuwa ndiyo mgombea,na anaweza akakosa stability ya kampeni,na kapeni yake itapooza Sana,kwa mara yakwanza ccm itashindwa ama laa kura zutapungua Sana,na upande WA ccm itabidi itumike gharama kubwa Sana kutafuta ushindi,lakini Kama masauni atakuwa amejiuzulu,itampa credibility mama,na ccm Cha kujitetea kuwa kumbe na nyie mnawajibika kwa muktadha wa usalama wa nchi na watanzania mkiwaeleza wata analyze na kuwaelewa,Tanzania hii Kuna waelewa wengi Sana wanao analyse Mambo,kwa ustadi mkubwa,tatizo mkijifungia tu huko nahisi mna assume raia walioko huku chini Kama hawajielewi,kinachosaidia tu labda watanzania,siyo wepesi wa kufanya ACTIVE RESISTANCE,(masauni jiuzulu),kusafisha upepo wa kisiasa kwa chama na serikali
 
Unajizatiti wakati umshaharibu? Uko ni kuhimiza na lutete failures.
I call as it is, failure is failure, hatuhitaji trial and error kwneye hizo nafasi, hatuko kwenye chuo chw msfunzo ya uongozi
yaani ufumaniewe huko na mkewl we wenyewe asie husika ajiuzulu 🤣

ung"olewe meno na macho kwa tamaa zako na vitu vya watu, halafu eti ng'we ng'we ati mwingine ndio awe ameharibu? Useless kabisa 🐒
 
Naunga mkono hoja
Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio,
watu wanne wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.

Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P
Laiti km Rais angekuwa msikivu na msoma alama za wakati
 
Salaam

Kama Hamad Yussuf Masauni akigoma kujiuzulu, Rais Samia itabidi afumbe macho atengue uteuzi wake sababu ni aibu kwa mtu anayejiita Muislam safi, watu wanapiga, wanategwa na kuuliwa lakini anakosa hata roho ya kusema pole.

Mheshimiwa Hamad M Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani

Kisiasa Hamad Yussuf Masauni inamlazimu ajiuzulu. Ni aibu, fedheha. Ana naibu Waziri Mheshimiwa Daniel Baran Sillo, na Makatibu Wakuu wawili ambao Ally Senga Gugu (Katibu Mkuu), na Dr. Maduhu I. Kazi (Naibu Katibu Mkuu)

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro tulimuonya kwamba Dar es Salaam ngumu akabisha. Size yake ni huko Itigi, Nangurukuru au Mchina.

IGP Camillus Mongoso Wambura ndo level ya Watu wanaotakiwa kuiongoza Kanda Maalum ya Dar Es Salaam.

Pole sana Rais Wetu Mpendwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu.

Soma Pia: Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni aitisha Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi

Unaowaamini na kuwapa vyeo kwa nia njema ya falsafa yako ya R4 ndo hao hao wanakung'ong'a.
sisitimu inahusika anajiuzulu kwa vip
 
Huyu waziri naona kama anaonewa tu maana anaweza kushinikizwa kujiuzuru ili atolewe kafara lakini mfumo mzima umeoza, huyo aliyekalia kiti kwenye nyumba nyeupe ndo ana majibu

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu waziri ni kati ya mawaziri walioboronga awamu hii ya 6,
Na kumwangusha Rais wetu

Matukio ya ovyo ya utekaji yanatokea hadharani mchana,
Watu wanauliwa
Watu wanatekwa
Watoto wanapotea
Yupo pale kuhakikisha watu wanapata amani na usalama

Rais wetu unangoja litokee jambo Gani huyu waziri ndo umtengue

Kama watu wanafanyiwa hivi Bado tu yupo ofsini

Rais wetu amekuwa mtu wa kuchukua hatua pale mtendaji wake anapozingua lakini huyu waziri sijui kwanini
Alimtumbua mkuu wa mkoa wa Simuyu kwa Ile skendo ya ngono na mwanachuo

Hakumchekea DC wa Arumeru alivoropoka kuhusu hujuma za CCM kwenye uchaguzi

Hakumchekea Nape alivoongea ovyo huko Bukoba

Makamba amefyeka Kwa uzembe

Ummy Mwalimu alivozingua kwenye Bima alikaa benchi chap

Mifano ni mingi hapo mama alinifurahisha lakini Kwa Masauni hapana anapwaya sana huyu jamaa
 
Mungu atamstaafisha mwenyewe.
 
M

zanzibar,,huoni wizara zote zenye upigaji kaweka wakojani wenziwe
 
Naunga mkono hoja
Nashauri kwa negligence iliyofanywa na Jeshi letu la polisi kuhusu kadhia hii ya kifo cha Mzee Ali Mohamed Kibao, Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu , kukutwa ameuwawa na mwili wake kutupwa eneo la Kunduchi Ununio,
watu wanne wawajibike!.
1. Waziri - kwa ajali kazini
2. IGP - kwa negligence ya RPC wake
3. RPC -DSM - negligence
4. OCD Kinondoni - negligence, na hawa wawili wa mwisho RPC na OCD wanaweza kufikishwa kwa Pilato!.

Ni wakati sasa Rais Samia kukasirika kama enzi za Nyerere!.
P

sidhani kama watawajibika kwakuwa walifuata maagizo toka ngazi za juu..
utawala umeshaingia doa na kulifuta hilo doa lazma jambo lifanyike

sheria mpya ya usalama wa taifa ifutwe haina nia njema kwa ccm zaidi ya kujitia kitanzi
 
Yaani Rais wa nchi aone aibu kumtengua waziri aliyemteua yeye mwenyewe?Nape,January etc wao hawakuonewa hiyo aibu?
 
Back
Top Bottom