Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

Waziri Hamza ni mfano wa kifaranga tu, Sasa tunaomba mtetea ajitokeze mwenyewe

Hajaanza leo....

Mh.Hamza ni mtu "smart" na mzalendo ila kwa hili....hebu ajaribu kuweka hisia pembeni.....

Maisha ya watanzania kwa umoja wao yanazunguka sana katika hayo mambo "22 ya Muungano"....inakuwaje kwa uchache wa wazanzibari tutoke kutoka 4.5% twende 50/50?!!!!
Inauma nini ikiwa muungano utakufa?

Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?

Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!

Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
 
Nchi aiangaliwi au kuheshimiwa kuringana na idadi ya watu mkuu. Je,mkataba wa kisiasa wa Muungano umelisema ilo kua tuangalie idadi ya watu ndiyo tugawe ayo mapato? Huwezi kua na Muungano alafu hapo hapo kuna upande wenye Rais na upande mwingine hauna Rais.
Hata kama haikutamka ama kuandikwa....maneno ya hayati Nyerere yanajitoleza kabisa...."Tanganyika ilifutwa ili isiweze kuimeza Zanzibar ambayo ni ndogo kieneo....ndogo kiidadi ya raia....".

Muungano wetu ni wa kipekee....hivi HURIA+FURSA zilizoko eneo la bara haziwasaidii wazanzibari ?!!!!

Hivi unajua kuwa bara kuna raia wengi wa Zanzibar kuliko walioko visiwani ?!!!!

Hivi unajua kuwa wazanzibari wana fursa kubwa ,pana na wasaa zaidi ya sisi wa huku bara ?!!!!

Mzanzibari anazuiwa kumiliki eneo la ukubwa gani huku bara?!!!

Je raia wa bara hana ukomo wa kumiliki eneo la ardhi upande wa visiwani ?!!!!

Mh.Hamza ayakumbuke na haya.....

#SiempreJMT[emoji120]
#MuunganoWetuNiBoraHiviUlivyo[emoji120]
 
Ni pointi mkuu

Lakini kwa nini tunawabembeleza wazanzibari wawe na sisi tu!
 
Inauma nini ikiwa muungano utakufa?

Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?

Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!

Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
"Sisi"...wewe na nani hamuutaki?!!!

"Hamza" na nani hawautaki huko visiwani ?!!!!

Muulize mtu anayeishi Zanzibar kwa muda mrefu.....utapata haya....

Wazanzibari(wengi sana)....sijafanya tafiti kuijua idadi yao.. .ila WANAUPENDA WANAUTAKA NA HUU MUUNGANO NI ROHO YAO.....

Ni wanasiasa wachache kama wale G55 walioitaka IFUFULIWE TANGANYIKA MFU.....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Inauma nini ikiwa muungano utakufa?

Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?

Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!

Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
si munapata chance ya kujisema kuwa ni watawala? Unadhani dogo hilo!
 
Inauma nini ikiwa muungano utakufa?

Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?

Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!

Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
Ndugu yangu muungano ni kweli bara ndo tunaung'ang'ania na kamwe abadani hutakuja vunjika .
Na ukivunjika tu bara tumekwisha ishia kuelewa haya tu.
 
"Sisi"...wewe na nani hamuutaki?!!!

"Hamza" na nani hawautaki huko visiwani ?!!!!

Muulize mtu anayeishi Zanzibar kwa muda mrefu.....utapata haya....

Wazanzibari(wengi sana)....sijafanya tafiti kuijua idadi yao.. .ila WANAUPENDA WANAUTAKA NA HUU MUUNGANO NI ROHO YAO.....

Ni wanasiasa wachache kama wale G55 walioitaka IFUFULIWE TANGANYIKA MFU.....

#SiempreJMT[emoji120]
Zanzibar sio watu wazima tu mpaka watoto hawautaki acha kudanganya watu.
 
Ndugu yangu muungano ni kweli bara ndo tunaung'ang'ania na kamwe abani hutakuja vunjika .
Na ukivunjika tu bara tumekwisha ishia kuelewa haya tu.
Acha kuwaonea wazanzibari wanaoutaka huu Muungano?!!!

Tatizo sauti yao imefunikwa na wanasiasa wachache wa Zanzibar wasioona fursa binafsi kubwa za kisiasa ndani ya Muungano......
 
Zanzibar sio watu wazima tu mpaka watoto hawautaki acha kudanganya watu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwashee kuwa serious banaaa....

Sasa mtoto anajuaje mambo ya watu wazima ?!!!!

Mtoto anaweza kuwa na msimamo wa wazazi wake hata kama ni msimamo wenye UPOGO .....

Tuongelee watu wazima[emoji1787]

Wazanzibari wengi sana....tena mno....wanauhitaji huu Muungano....

Kwa walio bara kwao ni fursa zaidi ya fursa ya raia wa bara aliyeko Zanzibar ......

Labda wenye chuki tu....
Labda wasiotaka kutafuta maisha huku bara....
Labda "wanasiasa wachache wamimi".....

Kinyume na hao... MUUNGANO NI KIMBILIO LA KILA MZANZIBARI....

#SiempreJMT[emoji120]
 
Acha kuwaonea wazanzibari wanaoutaka huu Muungano?!!!

Tatizo sauti yao imefunikwa na wanasiasa wachache wa Zanzibar wasioona fursa binafsi kubwa za kisiasa ndani ya Muungano......
Narudia tena Muungano wa Tanzania hutakuja Wala kujaribu kuvunjika ABADANI.
 
Bwashee kuwa serious kidogo[emoji1787][emoji1787]

Yaani huduma kwa watu milioni 1 na kidogo ulinganishe na watu milioni 60?!!![emoji849][emoji1787][emoji1787]
Zilizoungana ni nchi 2 Huru siyo Watu milioni 60 na milioni 2

Ukilielewa Hili hutapata shida kumuelewa mh Waziri Hamza!
 
Back
Top Bottom