Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ndio....Wewe unayajua matumizi ya Muungano?
Yako katika hayo mambo 22....kwani kuna kificho bwashee?!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio....Wewe unayajua matumizi ya Muungano?
Inauma nini ikiwa muungano utakufa?Hajaanza leo....
Mh.Hamza ni mtu "smart" na mzalendo ila kwa hili....hebu ajaribu kuweka hisia pembeni.....
Maisha ya watanzania kwa umoja wao yanazunguka sana katika hayo mambo "22 ya Muungano"....inakuwaje kwa uchache wa wazanzibari tutoke kutoka 4.5% twende 50/50?!!!!
Hata kama haikutamka ama kuandikwa....maneno ya hayati Nyerere yanajitoleza kabisa...."Tanganyika ilifutwa ili isiweze kuimeza Zanzibar ambayo ni ndogo kieneo....ndogo kiidadi ya raia....".Nchi aiangaliwi au kuheshimiwa kuringana na idadi ya watu mkuu. Je,mkataba wa kisiasa wa Muungano umelisema ilo kua tuangalie idadi ya watu ndiyo tugawe ayo mapato? Huwezi kua na Muungano alafu hapo hapo kuna upande wenye Rais na upande mwingine hauna Rais.
Ni pointi mkuuHata kama haikutamka ama kuandikwa....maneno ya hayati Nyerere yanajitoleza kabisa...."Tanganyika ilifutwa ili isiweze kuimeza Zanzibar ambayo ni ndogo kieneo....ndogo kiidadi ya raia....".
Muungano wetu ni wa kipekee....hivi HURIA+FURSA zilizoko eneo la bara haziwasaidii wazanzibari ?!!!!
Hivi unajua kuwa bara kuna raia wengi wa Zanzibar kuliko walioko visiwani ?!!!!
Hivi unajua kuwa wazanzibari wana fursa kubwa ,pana na wasaa zaidi ya sisi wa huku bara ?!!!!
Mzanzibari anazuiwa kumiliki eneo la ukubwa gani huku bara?!!!
Je raia wa bara hana ukomo wa kumiliki eneo la ardhi upande wa visiwani ?!!!!
Mh.Hamza ayakumbuke na haya.....
#SiempreJMT[emoji120]
#MuunganoWetuNiBoraHiviUlivyo[emoji120]
Hebu tuwekee nasi hapa jukwaani hiyo hati ya muungano tuisome tuone hayo Mambo 22 mkuuNdio....
Yako katika hayo mambo 22....kwani kuna kificho bwashee?!!?
"Sisi"...wewe na nani hamuutaki?!!!Inauma nini ikiwa muungano utakufa?
Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?
Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!
Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
Umewahesabu wazanzibari wasioutaka Muungano ?!!!Ni pointi mkuu
Lakini kwa nini tunawabembeleza wazanzibari wawe na sisi tu!
si munapata chance ya kujisema kuwa ni watawala? Unadhani dogo hilo!Inauma nini ikiwa muungano utakufa?
Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?
Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!
Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
Kumbe wewe ni mgeni na mh.Hamza?!!!!Aliyemtuma amemponza huyu jamaa
Ndugu yangu muungano ni kweli bara ndo tunaung'ang'ania na kamwe abadani hutakuja vunjika .Inauma nini ikiwa muungano utakufa?
Mbona ni Kama tumeung'ang'ania sana sisi wa Bara?
Hizo nondo za Hamza ni kuonyesha tu muungano hawataki!
Kwani sisi tumelogezewa muungano huu?
Zanzibar sio watu wazima tu mpaka watoto hawautaki acha kudanganya watu."Sisi"...wewe na nani hamuutaki?!!!
"Hamza" na nani hawautaki huko visiwani ?!!!!
Muulize mtu anayeishi Zanzibar kwa muda mrefu.....utapata haya....
Wazanzibari(wengi sana)....sijafanya tafiti kuijua idadi yao.. .ila WANAUPENDA WANAUTAKA NA HUU MUUNGANO NI ROHO YAO.....
Ni wanasiasa wachache kama wale G55 walioitaka IFUFULIWE TANGANYIKA MFU.....
#SiempreJMT[emoji120]
Acha kuwaonea wazanzibari wanaoutaka huu Muungano?!!!Ndugu yangu muungano ni kweli bara ndo tunaung'ang'ania na kamwe abani hutakuja vunjika .
Na ukivunjika tu bara tumekwisha ishia kuelewa haya tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Zanzibar sio watu wazima tu mpaka watoto hawautaki acha kudanganya watu.
Narudia tena Muungano wa Tanzania hutakuja Wala kujaribu kuvunjika ABADANI.Acha kuwaonea wazanzibari wanaoutaka huu Muungano?!!!
Tatizo sauti yao imefunikwa na wanasiasa wachache wa Zanzibar wasioona fursa binafsi kubwa za kisiasa ndani ya Muungano......
[emoji120][emoji106][emoji2956][emoji2956]Narudia tena Muungano wa Tanzania hutakuja Wala kujaribu kuvunjika ABADANI.
Kwahiyo baada ya kugharamia hayo mambo 22 Salio ni Haki kugawanywa Pasu kwa PasuNdio....
Yako katika hayo mambo 22....kwani kuna kificho bwashee?!!?
Bwashee kuwa serious kidogo[emoji1787][emoji1787]Kwahiyo baada ya kugharamia hayo mambo 22 Salio ni Haki kugawanywa Pasu kwa Pasu
Wasumbufu afu tukifukuza ndugu zao huku bara ndiyo watajua umuhimu wa hiki kituAnataka Muungano wa usawa kati ya watu milioni 50 dhidi ya watu milioni 1!! Si wajitenge tu. Maana hata faida yao kwa Tanganyika siioni.
Zilizoungana ni nchi 2 Huru siyo Watu milioni 60 na milioni 2Bwashee kuwa serious kidogo[emoji1787][emoji1787]
Yaani huduma kwa watu milioni 1 na kidogo ulinganishe na watu milioni 60?!!![emoji849][emoji1787][emoji1787]