Waziri Innocent Bashungwa amwakilisha Rais kwenye kumbukumbu ya Hayati Dkt. Magufuli

Niliwaambia wakae kimya wakiona tweet ya Rais jioni wakashupaza shingo, haya na katika hotuba yake leo kasimamisha hotuba ili kumkumbuka JPM ,
Mbona mnatumia nguvu nyingi juu ya huyo mungu wenu ili hali mnadai alifanya mengi, kizuri chajiuza, ndiyo maana hakuna promo kwa Nyerere
 
A
Baba yake Inno na magufuli walisoma pamoja, lakini mama yake inno ni msukuma wa ukoo wa akina magufuli, na inno alikua anamwita uncle kiukoo hivo hakuna kitu kakosea labda wewe usiyewajua hao ndio utashangaa
Asante Kwa hili jibu
 
Mkuu Mama anajitambua na si ajabu aliipanga safari Kwa kitambua kutoshiriki hii shughuli popote pale.
 
Unakuta wenye Matatizo ya kutokuona Mbali,,, wataongea Kwa kumdharau !!.


Kumbe Iliamriwa Bashungwa ndie awepo, na Ili awepo ni lazima Samia Asiwepo awe kwenye mishe nyingine !!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…