Waziri Innocent Bashungwa amwakilisha Rais kwenye kumbukumbu ya Hayati Dkt. Magufuli

Waziri Innocent Bashungwa amwakilisha Rais kwenye kumbukumbu ya Hayati Dkt. Magufuli

Niliwaambia wakae kimya wakiona tweet ya Rais jioni wakashupaza shingo, haya na katika hotuba yake leo kasimamisha hotuba ili kumkumbuka JPM ,
Mbona mnatumia nguvu nyingi juu ya huyo mungu wenu ili hali mnadai alifanya mengi, kizuri chajiuza, ndiyo maana hakuna promo kwa Nyerere
 
A
Baba yake Inno na magufuli walisoma pamoja, lakini mama yake inno ni msukuma wa ukoo wa akina magufuli, na inno alikua anamwita uncle kiukoo hivo hakuna kitu kakosea labda wewe usiyewajua hao ndio utashangaa
Asante Kwa hili jibu
 

Waziri wa Ulinzi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais Samia Suhulu Hassan kwenye misa ya kumuombea Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli leo Machi 17 2023 nyumbani kwa Hayati Magufuli Chato mkoa wa Geita.​

Nanukuu

"Nimepata heshima ya kumuwakilisha mhe. Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye misa ya kumuombea mzee wetu mpendwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, leo Machi 17 ambapo ni miaka miwili tangu ameitwa na Mwenyezi Mungu. Endelea kupumzika kwa amani uncle JPM" ameandika Bashungwa kwenye ukurasa wake rasmi wa Instram.​

Mkuu Mama anajitambua na si ajabu aliipanga safari Kwa kitambua kutoshiriki hii shughuli popote pale.
 
Unakuta wenye Matatizo ya kutokuona Mbali,,, wataongea Kwa kumdharau !!.


Kumbe Iliamriwa Bashungwa ndie awepo, na Ili awepo ni lazima Samia Asiwepo awe kwenye mishe nyingine !!.
 
Back
Top Bottom