Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Serikali ipi? Ilishatatua tatizo gaani?Punguza utoto, sio kila kitu Cha kukirupukia na kufanya siasa za majitaka. Serikali ipo kwenye hatua ya kutatua tatizo kubwa la baadaye lakini unaleta utoto
Huyu akili zake ni mbovu.mimi nasimama na wachina hawa wanaoitwa wazawa waliishatuumiza sana na bei zao za kutubambika.wachina wanatuuzia vitu bei Chee lini hao wenzetu wanatupiga sana.tuache nguvu ya soko ifanye kazi yake.Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali italivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali.
Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo.
Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali nchi hii ichezewe na wageni.
Kwa hiyo Waziri Jaffo anatangaza trade war with China.
People are being too clever fir themselves with these trade wars.
Watu wanakuwa wajanja kupita kiasi.
Hili jukwaa linapoteza sifa la GT kama ilovyozoeleka kama unauliza maswali ya kitoto hiviSerikali ipi? Ilishatatua tatizo gaani?
Siasa tu, hakuna kitu hapo,Punguza utoto, sio kila kitu Cha kukirupukia na kufanya siasa za majitaka. Serikali ipo kwenye hatua ya kutatua tatizo kubwa la baadaye lakini unaleta utoto
wachina sio wajinga wale, pia sijui kama unajua mashariti ya mikopo tunayo pewa kutoka huko chinaWaziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali italivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali.
Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo.
Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali nchi hii ichezewe na wageni.
Kwa hiyo Waziri Jaffo anatangaza trade war with China.
People are being too clever for themselves with these trade wars.
Watu wanakuwa wajanja kupita kiasi.
Pia soma > DOKEZO - Kufurika kwa Wachina Tanzania ni fursa au janga?
we ndo wale mnaouza shat la 5k kwa 20k, nenda kalime parachichi njombeHili jukwaa linapoteza sifa la GT kama ilovyozoeleka kama unauliza maswali ya kitoto hivi
Bunge liendeshwe Kimtandao kuokoa rasilimali fedhawabunge waomba tiktok kuondolewa tanzania.
Hii nchi naona tumefikia wazi kuonesha mawaziri wajinga na wabunge wajinga wakiwa na viongozi wao wajinga
KWanza ile Kariakoo ni guria ile sio sehemu ya kukuza uchumi wa nchi, ile ni kituo cha uchuuzi cha kimataifaHuyu akili zake ni mbovu.mimi nasimama na wachina hawa wanaoitwa wazawa waliishatuumiza sana na bei zao za kutubambika.wachina wanatuuzia vitu bei Chee lini hao wenzetu wanatupiga sana.tuache nguvu ya soko ifanye kazi yake.
nakazia, kama vp wakalime parachichi njombeHuyu akili zake ni mbovu.mimi nasimama na wachina hawa wanaoitwa wazawa waliishatuumiza sana na bei zao za kutubambika.wachina wanatuuzia vitu bei Chee lini hao wenzetu wanatupiga sana.tuache nguvu ya soko ifanye kazi yake.
Anawafurahisha wajinga wa hili TaifaAnaleta siasa kwenye uchumi!
Hana uwezo wa kufanya hivyo anaongea tu ili massa yaende
tulia sindano ikuingie we winga.Punguza utoto, sio kila kitu Cha kukirupukia na kufanya siasa za majitaka. Serikali ipo kwenye hatua ya kutatua tatizo kubwa la baadaye lakini unaleta utoto
Heading inasema “anataka kuwafukuza wachona kariakoo” halaf post yako “wachina na wageni wote wanaofanya biashara bila vibali”Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali italivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali.
Kuanzia kesho,yaani kuanzia leo,anataka kuona njagu wanawachangamkia Wachina Kariakoo.
Waziri Jaffo anasema yeye kama Waziri wa Viwanda na Biashara hatakubali nchi hii ichezewe na wageni.
Kwa hiyo Waziri Jaffo anatangaza trade war with China.
People are being too clever for themselves with these trade wars.
Watu wanakuwa wajanja kupita kiasi.
Pia soma > DOKEZO - Kufurika kwa Wachina Tanzania ni fursa au janga?
Waziri mpumbavu huyo .Waziri Jaffo amecharuka. Anasema Serikali italivalia njuga tatizo la Wachina na wageni wote wanaofanya biashara nchini bila kibali.