Ila jamaa atakuwa na bahati mbaya sana. Kakaimu kwa siku 2 tu na kusimamishwa kazi juu. Anatamani hata asingepewa ukaimu huoYamesha tendeka. Marehemu kisha zikwa.Kwa nini kuendeleza maumivu kwa walio hai? Barua ya onyo ingetosha. Kama fedha zingelikuwa nje nje ka zamani sidhani kama huu uzembe ungelitokea...
Umesahu mazishi ya mkuu wa wilaya Mtwara?Duuu! Sijawahi kuona kitu kama hii! Hata kama ni visa, lakini imagine it were you!
Hapo msiba unasubiriwa kwenu, halafu mwili unaingia namna hiyo, na hiki ni kipindi cha mvua.
Ni dharau ya hali ya juu sana.
Jafo amerejea mkataba wa utumishi wa umma. Mtumishi anapofariki mwajiri anawajibika kumsafarisha na kumzika kwa taratibu na heshma zote za kiutumishiMbona wengine wanasafirisha na pikipiki?? Hii Ina highlights tuna shida ya kuwa na magari ya kusafirisha wagonjwa na miili ya waliokufa, huyo aliesimamishwa katolewa kafara tuu, tuna tatizo la kimfumo, ila waziri Jafo hakuona hili ? Karukia kumfukuza kazi ... ombea tusiwe na viongozi wenye ego, wanaotaka kufanya waonekane wanafanya kazi! It is sick to watch 😏🤔
Bwana Jumanne ameharibuUchungu sana
Kwa wale tunaoweka kumbukumbu vizuri myajua nani huyu anabebwa na Fork lift.Ana safirishwa kama parcel
Au kiroba huu siyo ubinadam
Ova
Jafo amerejea mkataba wa utumishi wa umma. Mtumishi anapofariki mwajiri anawajibika kumsafarisha na kumzika kwa taratibu na heshma zote za kiutumishi
Sasa jambo kama hili eti kupisha uchunguzi upi sasa??Hata ningekuwa Mimi ningemsimisha kazi
Yana baraka zote na ndiyo maana tulikihitaji hiki kipindi cha pili tu polish Chato ing’are.Very bad!
Mitandao pia inasaidia kukemea yanayoendelea huko Chato na hivi karibuni mnaweza kuona serikali ikitoa tamko rasimi kujibu tuhuma zilizoko mitandaoni kuhusiana na miradi ya Chato.
Huwa nakuona ni mwanaccm kindakindaki unaitetea kwa nguvu zote katika hili nmegundua mkuu una utu na ubinadamu.Umelijibu vizuri hilo litaahira.Jafo amerejea mkataba wa utumishi wa umma. Mtumishi anapofariki mwajiri anawajibika kumsafarisha na kumzika kwa taratibu na heshma zote za kiutumishi
Huwa nakuona ni mwanaccm kindakindaki unaitetea kwa nguvu zote katika hili nmegundua mkuu una utu na ubinadamu.Umelijibu vizuri hilo litaahira.