Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Wakala wake kawekwa nanani?acha hizo
 
Kama zoezi hili tu la uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ambalo lipo wazi kabisa, limejaa ghiriba, hujuma na ukiukwaji mkubwa wa haki na sheria. Je! Hayo mengine ya sirini kuhusu matumizi ya njuruku za umma kama vile ununuaji wa madege kwa fedha taslimu, si ndiyo itakuwa ni balaa. Nahisi ndiyo sababu kuu ya kumuengua Prof. Assad.
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Halafu watu wakiwaita wajinga mnawachukia?

Unajua sifa ya kwanza ya kuwa mgombea katika chaguzi za kisiasa hapa nchini ni ipi?

Kama ni lazima mgombea adhaminiwe na chama fulani(ie. awe mwanachama wa chama) unawezaje kumtenga na maamuzi ya chama?

Hizo shule mlienda kusomea nini?
 
Wakala wake kawekwa nanani?acha hizo
Si lazima aweko wakala mbona vituo vingi tu vya kupigia kura huwa havina mawakala wa vyama Vyama vingi huwa havina mawakala wa kuweka kila Kona kutokana na ukosefu wa pesa
 
Acha kutetea ujinga ndugu kwani hao walikuwa ni wagombea binafsi si wanagombea kwa mgongo wa chama sasa kama chama kimesema hakitashiriki yeye ata akichaguliwa anakuwa ni mgombea kutoka chama gan
 
Kama nakuona Mhe Waziri wangu Kijana kabisa anavyoumia. Tatizo maelekezo na mikwara ilizidi. Wasimamizi wa Uchaguzi wakaagiza wasaidizi wao kuwa ole wake atakayewapitisha wapinzani wengi, Madisii na wale naniliuu nao fuluuuu sound, hapo ndio shida, Maveo wao wakadelete folder balada ya files kadhaa, ikawa issue. Kiukweli kama MTU una damu tu haijalishi ELIMU yako, lazima ubaini kilichofanyika sioooo! ni hila za hatari sana. Mungu atuepushe na hizi roho ngumu. Nimesikia Siasa haina dini, sawa nimeelewa.
 
Dah, kada mwenzangu unafeli sana.Mi fahamu zisharudi mpaka nikafungua ID nyingine
 
Shauri kura sitopiga kamwe
 
Si lazima aweko wakala mbona vituo vingi tu vya kupigia kura huwa havina mawakala wa vyama Vyama vingi huwa havina mawakala wa kuweka kila Kona kutokana na ukosefu wa pesa
Jibu swali acha janja janja
 
Mbona ubunge mliwapitisha
 
Ikitokea majina ya wagombea wa vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi yakawekwa kwenye karatasi la kura kama Jaffo alivyosema na wananchi wakayapigia na kushinda. swali ni je vyama hivyo na wagombea wao watakuwa na ujasiri wa kugomea kuongoza wananchi?
 
Basi CDM waandike barua za kujitoa unless otherwise itakuwa Ni udaku Kama ubuyu mwingine wowote, huwezi amini kujitoa kwa mgombea wa CDM huku masebe lugoje kwa kauli ya Bwana furani dar es salaaaama runingani
Unataka nakala na ww?
 
Ikitokea majina ya wagombea wa vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi yakawekwa kwenye karatasi la kura kama Jaffo alivyosema na wananchi wakayapigia na kushinda. swali ni je vyama hivyo na wagombea wao watakuwa na ujasiri wa kugomea kuongoza wananchi?
Akili za Jiwe!
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Kwani mgombea binafsi alisharuhusiwa TZ?
 
Ikitokea majina ya wagombea wa vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi yakawekwa kwenye karatasi la kura kama Jaffo alivyosema na wananchi wakayapigia na kushinda. swali ni je vyama hivyo na wagombea wao watakuwa na ujasiri wa kugomea kuongoza wananchi?

Watapigiwa kura na nani, wapiga kura wanaoupigia kura upinzani hawatashiriki huo ushenzi, sasa hizo kura zitatoka wapi?
 
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee

Mbowe ametumia ubabe
bashite ametumia upumbavu wake kutufikisha hapa
Mbowe is a Great Man amefanya maamuzi yaliyokusudiwa na WaTanzania wengi
Mnajidanganya sana
Kapigeni kura wenyewe kwani shida iko wapi?
 
Ikitokea majina ya wagombea wa vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi yakawekwa kwenye karatasi la kura kama Jaffo alivyosema na wananchi wakayapigia na kushinda. swali ni je vyama hivyo na wagombea wao watakuwa na ujasiri wa kugomea kuongoza wananchi?
Kwanza Jafo aruhusu mchakato wa kuchukua form uanze upya, pili hawa watendaji wasihusike kwenye chaguzi, tatu kuwe na tume huru ya uchaguzi sio hii ya Mungufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…