Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Jafo Yuko sahihi.

Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Kama tafsiri yenu ya chama ni zile ofisi/majengo yaliyoandikwa CHADEMA basi mko sawa.
 
Katiba, katiba, katiba. Bila ridhaa ya chama, hakuna mgombea. Wahini kufanya mabadiliko husika kabla ya uteuzi! Ccm walinang'ania hili sasa linawatafuna! Pole sana mhe. Waziri huna pa kutokea.
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
 
Jafo Yuko sahihi.

Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Kwani huyo mgimbewa anadhaminiwa na nani ?
 
Hao wagombea wamedhaminiwa na Nani.
Polepole kasema ccm imewadhamini wagombea wake. Jee Hawa wengine Wana udhamini toka wapi.
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Hakuna mgombea huru, wagombea wote ni mali ya chama husika.

Mtikila alishinda kesi, serikali ikakata rufaa na ikashinda.

Usijidanganye, kinachojitoa ni chana siyo mtu.

Na chama kikikukataa huwezi kulazimisha kuwa mwanachama wake.

Hivyo msilazimishe.
 
Hivi kweli kweli waliochukua fomu kupitia vyama pinzani ni vilaza kuliko wanaccm wote waliochukua fomu?
Nauliza tu kwa sababu sijasikia mwana ccm aliyeenguliwa haet kwa kujaza fomu vibaya.

Inamaana kama kuna semina na maelekezo yaliyotolewa, basi yalitolewa kwa wanaccm tu na vyama pinzani watu wao awakupewa hayo maelekezo?

Nigeshauri Fomu zote ziwekwe wazi ili watu wajiridhishe kuwa wamekosea au wameonewa.
Fomu ziwekwe kwenye mtandao ili wagombea wawe wana download ili kuondoa tofauti kwamba hii sijui haina kivuli na mbwembwe nyingi kibao na hapo ndo utagundua ni nani vilaza
 
Hivi kweli kweli waliochukua fomu kupitia vyama pinzani ni vilaza kuliko wanaccm wote waliochukua fomu?
Nauliza tu kwa sababu sijasikia mwana ccm aliyeenguliwa haet kwa kujaza fomu vibaya.

Inamaana kama kuna semina na maelekezo yaliyotolewa, basi yalitolewa kwa wanaccm tu na vyama pinzani watu wao awakupewa hayo maelekezo?

Nigeshauri Fomu zote ziwekwe wazi ili watu wajiridhishe kuwa wamekosea au wameonewa.
Fomu ziwekwe kwenye mtandao ili wagombea wawe wana download ili kuondoa tofauti kwamba hii sijui haina kivuli na mbwembwe nyingi kibao na hapo ndo utagundua ni nani vilaza
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Ruhusuni mgombea binafsi
 
Katiba haitambui mgombea binafsi. Wale ni wagombea kupitia vyama ambavyo vimejitoa.Iweje wawalazimishe? TATIZO WANAOVAA KIJANI WANAJIONA WANA IQ KUBWA KUMBE NI VIHIYO TU.Tangu lini digrii ya "korosho" ikawa na uwezo wa kuongoza?
CCM wanajiharishia huko walipo
 
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee

Mbowe ametumia ubabe
Hata kanuni zilikuwa hazipata baraka za bunge. Halafu kuna haja gani ya uchaguzi wakati washindi wametangazwa?
Halafu eti leo wagombea watawekwa hata chama kimejitoa. Yaani leo wagombea wasio na chama ruksa. Crazy
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?

This is silly. Chama ndio kinachodhamini (sponsor) mgombea. Barua moja inatosha kuondoa wagombea wote wanaodhaminiwa na Chama. Simple.
 
Kwa taarifa yako Jafo fanya lo lote mlilopanga maana ushirikiano amani na upendo tumeuzika rasmi. Hatutazikana hatutaoleana mbaya zaidi hatutaaminiana kwa lo lote.
 
Fomu ziwekwe kwenye mtandao ili wagombea wawe wana download ili kuondoa tofauti kwamba hii sijui haina kivuli na mbwembwe nyingi kibao na hapo ndo utagundua ni nani vilaza
Mtandao ukisumbua mkashindwa kudownload mtaleta mbwembwe zingine.Mtu anatakiwa achukue mwenyewe asign na despatch Kama ushahidi kuwa kachukua
 
Jafo Yuko sahihi.

Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
unaongea upumbavu mtupu? anaye gombea ni mwanachama huru ama kapewa ridhaa na chama

kwa nini mbunge akipigwa chini na chama ubunge wake unakoma?

hao mnao lazimisha wawepo wakikataliwa na chama wanakuwa wenyeviti/wajumbe kupitia njia ipi?

wewe ni mjinga uliye jua kusoma na kuandika pasipokuwa na akili ya kufikiri
 
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Huko tunakokwenda kwa sasa siko.Busara itumike mambo yaishe wagombea wote waingie uwanjani
 
Back
Top Bottom