Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Wagombea watakuepo vipi wakati vyama vimejitoa!! Hizi akili gani lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tafsiri yenu ya chama ni zile ofisi/majengo yaliyoandikwa CHADEMA basi mko sawa.Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Kwani huyo mgimbewa anadhaminiwa na nani ?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Hakuna mgombea huru, wagombea wote ni mali ya chama husika.Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Fomu ziwekwe kwenye mtandao ili wagombea wawe wana download ili kuondoa tofauti kwamba hii sijui haina kivuli na mbwembwe nyingi kibao na hapo ndo utagundua ni nani vilazaHivi kweli kweli waliochukua fomu kupitia vyama pinzani ni vilaza kuliko wanaccm wote waliochukua fomu?
Nauliza tu kwa sababu sijasikia mwana ccm aliyeenguliwa haet kwa kujaza fomu vibaya.
Inamaana kama kuna semina na maelekezo yaliyotolewa, basi yalitolewa kwa wanaccm tu na vyama pinzani watu wao awakupewa hayo maelekezo?
Nigeshauri Fomu zote ziwekwe wazi ili watu wajiridhishe kuwa wamekosea au wameonewa.

Ruhusuni mgombea binafsiAnatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
CCM wanajiharishia huko walipoKatiba haitambui mgombea binafsi. Wale ni wagombea kupitia vyama ambavyo vimejitoa.Iweje wawalazimishe? TATIZO WANAOVAA KIJANI WANAJIONA WANA IQ KUBWA KUMBE NI VIHIYO TU.Tangu lini digrii ya "korosho" ikawa na uwezo wa kuongoza?
Hata kanuni zilikuwa hazipata baraka za bunge. Halafu kuna haja gani ya uchaguzi wakati washindi wametangazwa?Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Mtandao ukisumbua mkashindwa kudownload mtaleta mbwembwe zingine.Mtu anatakiwa achukue mwenyewe asign na despatch Kama ushahidi kuwa kachukuaFomu ziwekwe kwenye mtandao ili wagombea wawe wana download ili kuondoa tofauti kwamba hii sijui haina kivuli na mbwembwe nyingi kibao na hapo ndo utagundua ni nani vilaza
Haya yote yamesababishwa na nani mkuu?Uchaguzi umeshavurugwa bora ufutwe tu mchakato uanze upya!!
unaongea upumbavu mtupu? anaye gombea ni mwanachama huru ama kapewa ridhaa na chamaJafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Huko tunakokwenda kwa sasa siko.Busara itumike mambo yaishe wagombea wote waingie uwanjaniMATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.