johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Luqman mohamedy, hii sasa kali!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Aliyejitoa ni nani?Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Hujui unaliliongea.Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
akili ile ile ya lumumba!Aliyejitoa ni nani?
Waliogombea ndiyo waliokata rufaa!
Waliojitoa ni viongozi wa vyama ambao siyo wagombea!
Awamu hii kilakitu nimanguvu tuMATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Japo nadhani ameanza kuondokewa na akili. Anayegombea amesema amejiondoa, wewe unasema, lazima uwemo. Hivi wewe unayesema hivyo utakuwa mzima?
Chama ndo mdhamini wa mgombea, sasa kama mdhamini kagoma unampitishaje mgombea bila ya kuwa na mdhamini?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Wamepagawishwa na sasa wanaweweseka...Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
akili zile zile za Lumumba! zile zile! Hatuna mgombea binafsi, chama ndiyo kinasimamisha mgombea., kikijitoa basi kila kitu kina collapse!Hapa technicalities ndizo zinazo waangusha wapinzani. Kama wagombea hawaja jitoa rasmi kwa utaratibu uliopo basi ni washiriki halali wa uchaguzi.
'Confused government'.....eti huyu Jafo ndo wanasema ni presidential material duh ameshindwa kumdhibiti Magufuri kwa hilo, sasa anae aibika niyeye.....Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema vyama vya siasa ndivyo vimejitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa sio wagombea, na kwamba wagombea wa vyama vilivyojitoa waliokata rufaa, matokeo ya rufaa yakitoka na wakishinda, majina yao yatajumuishwa kwenye karatasi za uchaguzi..
Hoja:
Ivi mtu akienguliwa na chama huwa anabaki kuwa mwanachama? Na mtu akivuliwa uanachama na ni diwani au mbunge huwa anabaki na cheo chake? Hii sheria imetungwa lini?
Kwanini wanalazimisha ushiriki kwanini hawafurahi wapinzani kuwaachia waendelee kushinda bila lupingwa
Nadhani kuna conflict of interest kwa upande wa waziri Jafo!Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema vyama vya siasa ndivyo vimejitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa sio wagombea, na kwamba wagombea wa vyama vilivyojitoa waliokata rufaa, matokeo ya rufaa yakitoka na wakishinda, majina yao yatajumuishwa kwenye karatasi za uchaguzi..
Hoja:
Ivi mtu akienguliwa na chama huwa anabaki kuwa mwanachama? Na mtu akivuliwa uanachama na ni diwani au mbunge huwa anabaki na cheo chake? Hii sheria imetungwa lini?
Kwanini wanalazimisha ushiriki kwanini hawafurahi wapinzani kuwaachia waendelee kushinda bila lupingwa
Nadhani kuna conflict of interest kwa upande wa waziri Jafo!