Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

IMG-20191109-WA0012.jpg
 
Sasa kama ni vyama vimejitoa na si wagombea inamaana wanagombea kama wagombea binafsi? Sheria inaruhusu hilo wakati waliomba kugombea kwa ticket ya vyama vyao?
 
mfano. wana chadema wote hawaendi kupiga kura kwa kuwa uongozi umeamua chama hakitashiriki. sasa huyo mgombea atapigiwa kura na nani?
 
Hapa technicalities ndizo zinazo waangusha wapinzani. Kama wagombea hawaja jitoa rasmi kwa utaratibu uliopo basi ni washiriki halali wa uchaguzi.
Sasa hv katiba inaruhusu wagombea binafsi?
 
Mbona Kama mnakwepesha waziri wa Tamisemi ni Jiwe mwenyewe.

Hii ni wizara ya ofisi ya raisi, hakuna mtu mwoga Kama Jiwe hapa kajificha anasubiria Mambo yapoe aibuke kwa hatua zake ili aonekane nice guy.

Jaffu ni mcheza shoo tu kama Supika na CAG
 
Hata Seif Sharif kwenye Uchaguzi wa marudio alitangaza kujitoa lakin hakutolewa kwenye karatasi za kupigia kura

Uchaguzi ni kama ndoa ya kikristo, kuingia rahisi ila kutoka sasa ...
Hoja ya kipumbavu,ila wacha tuijibu

sharifu karatasi zilisha anza kuchapwa na uchaguzi ulisha fanyika shida ilikuja kwenye matokeo

hawa hata majina yao bado hayajapitishwa wala hakuna karatasi yenye jina/picha yao unalazimisha wa nini?

mfano wako wa sharifu hata havifanani sema vile akili za kuvukia barabara ndo unaona ni sawa
 
Hata Seif Sharif kwenye Uchaguzi wa marudio alitangaza kujitoa lakin hakutolewa kwenye karatasi za kupigia kura

Uchaguzi ni kama ndoa ya kikristo, kuingia rahisi ila kutoka sasa ...
Hivi tayari karatasi zimechapwa!!!!,,,,,na picha za hao waenguliwa wamezitoa wapi
 
Mbona Kama mnakwepesha waziri wa Tamisemi ni Jiwe mwenyewe.

Hii ni wizara ya ofisi ya raisi, hakuna mtu mwoga Kama Jiwe hapa kajificha anasubiria Mambo yapoe aibuke kwa hatua zake ili aonekane nice guy.

Jaffu ni mcheza shoo tu kama Supika na CAG
Hahahaaaa
 
Usichokijua ni kwamba katiba inasema mgombea yeyote lazima awe na udhamini wa chama cha siasa, kwa lugha nyingine ni kwamba katiba hairuhusu mgombea binafsi. Sasa CHADEMA kama chama kimetangaza kufuta huo udhamini kwa wagombea wake wote nchi nzima. Kwahio automatically wagombea wake wote wanapoyeza sifa ya kuwa wagombea kwa mujibu wa katiba. Kwahio hawawezi kugombea hata kama wangelitaka kuendelea na uchaguzi.
hapo upo?

Mkuu

Jafo ni duwanzi la mwisho!

Linavunja sheria kwa kudhani Tanzania kuna ruksa ya Wagombea Binafsi!

Yaani wale wagombea wagombee bila vyama?

Kuna majitu maduwanzi nchi hii,na tumeyapa vyeo kabisa!
 
Mbona Kama mnakwepesha waziri wa Tamisemi ni Jiwe mwenyewe.

Hii ni wizara ya ofisi ya raisi, hakuna mtu mwoga Kama Jiwe hapa kajificha anasubiria Mambo yapoe aibuke kwa hatua zake ili aonekane nice guy.

Jaffu ni mcheza shoo tu kama Supika na CAG
Kwa maana hiyo pombe kanywa jiwe kulewa kalewa Jafo!
Mwaka huu mpaka kuna mtu atarukwa akili na kuwa mwenda wazimu.
 
Back
Top Bottom