Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
Hawana utaratibu huoAjiuzulu tuamini unayo sema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana utaratibu huoAjiuzulu tuamini unayo sema.
Kweli mkuu,meko amejaza tunguli za kutosha pale Magogoni pia nyingine zipo kwa BashiteHakuna mwanaccm atakayeiona mbingu hawa wanyama makazi Yao ni motoni Tu ndiyo maana mambo wanayofanya ni ya kuzimu mwanzo mwisho
Ameenguliwa mgombea,sio chama.Hivi mkuu mmesha niengua kua nimejaza fomu vibaya kuna haja gani tena ya kuwaomba nijitoe !!!!Si ni maajabu hayo
Sasa hv katiba inaruhusu wagombea binafsi?Hapa technicalities ndizo zinazo waangusha wapinzani. Kama wagombea hawaja jitoa rasmi kwa utaratibu uliopo basi ni washiriki halali wa uchaguzi.
Hoja ya kipumbavu,ila wacha tuijibuHata Seif Sharif kwenye Uchaguzi wa marudio alitangaza kujitoa lakin hakutolewa kwenye karatasi za kupigia kura
Uchaguzi ni kama ndoa ya kikristo, kuingia rahisi ila kutoka sasa ...
Hivi tayari karatasi zimechapwa!!!!,,,,,na picha za hao waenguliwa wamezitoa wapiHata Seif Sharif kwenye Uchaguzi wa marudio alitangaza kujitoa lakin hakutolewa kwenye karatasi za kupigia kura
Uchaguzi ni kama ndoa ya kikristo, kuingia rahisi ila kutoka sasa ...
HahahaaaaMbona Kama mnakwepesha waziri wa Tamisemi ni Jiwe mwenyewe.
Hii ni wizara ya ofisi ya raisi, hakuna mtu mwoga Kama Jiwe hapa kajificha anasubiria Mambo yapoe aibuke kwa hatua zake ili aonekane nice guy.
Jaffu ni mcheza shoo tu kama Supika na CAG
Kwahiyo unaona una hoja?
[/QU
Huwez iona we akili kisodaa
Usichokijua ni kwamba katiba inasema mgombea yeyote lazima awe na udhamini wa chama cha siasa, kwa lugha nyingine ni kwamba katiba hairuhusu mgombea binafsi. Sasa CHADEMA kama chama kimetangaza kufuta huo udhamini kwa wagombea wake wote nchi nzima. Kwahio automatically wagombea wake wote wanapoyeza sifa ya kuwa wagombea kwa mujibu wa katiba. Kwahio hawawezi kugombea hata kama wangelitaka kuendelea na uchaguzi.
hapo upo?
Kinagombea chama bila mgombea??katiba inaruhusu mgombea binafsi???Ameenguliwa mgombea,sio chama.
Kwa maana hiyo pombe kanywa jiwe kulewa kalewa Jafo!Mbona Kama mnakwepesha waziri wa Tamisemi ni Jiwe mwenyewe.
Hii ni wizara ya ofisi ya raisi, hakuna mtu mwoga Kama Jiwe hapa kajificha anasubiria Mambo yapoe aibuke kwa hatua zake ili aonekane nice guy.
Jaffu ni mcheza shoo tu kama Supika na CAG