Ubongo ukiwa kwenye kichwa chako inatosha...[emoji119][emoji119]Akili za mwewe eti waandike barua za kujitoa kwani walisema ni wagombea binafsi?sheria hiyo ipo Tanzania ccm si mliikataa?wewe mbona unahangaika sana?wakati kichwani ubongo haupo.
Na kama hujaelewa nilimaanisha viongozi wa vyama vya upinzani vilivyogomea uchaguzi viandike barua rasmi kwa msajili wa vyama vya siasa ili dhamira yao iwe "official",tofauti na sasa ambapo wame press tu kwenye vyombo vya habari, sijasema hao wagombea uenyekiti ndio waandike barua.Akili za mwewe eti waandike barua za kujitoa kwani walisema ni wagombea binafsi?sheria hiyo ipo Tanzania ccm si mliikataa?wewe mbona unahangaika sana?wakati kichwani ubongo haupo.
Mwanachama wa chama chochote cha siasa kwa mfano mbunge atakapovuliwa uanachama na chama chake inakuwa pia anapoteza nafasi yake ya ubunge kwenye jimbo husika. Hao wanacha waliochukua fomu kugombea nafasi mbalimbali kwenye serikali za mitaa wamefanya hivyo kwa kutumia ridhaa aliyopewa na chama chake. Chama ndio chenye sauti ya mwisho juu ya mgombea anaye kiwakilisha chama husika.Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Mheshimiwa Jafo amepitia fomu za ccm ambazo wagombea wamepita bila kupinhwa? Sina hakika kama fomu za wagombea wa ccm zimejazwa vizuri. Je, hawa wagombea wa vyama vya upinzani ndo mara ya kwanza wanajaza hizi fomu? Ukizipitia hizi fomu wagombea wa ccm ndo waliokosea ujazaji wa fomu katika maeneo mengi. Lakini Mh. Jafo anafahamu katika baadhi ya maeneo wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi baada tu ya kupokea fomu za wagombea wa ccm waligunga ofisi ili wasipokee fomu kutoka kwa vyama vya upinzani? Je, Mh. Jafo anafahamu kuwa hata barua za pingamizi kutoka kwa wapinzani hazikupokelewa kutokana na wasimamizi wasaidizi kutoonekana ofisini siku ya kupokea pingamizi? Haya mambo yaliyofanyika yanatia aibu na hasira kwa watu wenye utu na kujali heshima ya taifa letu kimataifa. Upuuzi huu umeratibiwa na wakuu wa mikoa na wilaya kwa baadhi ya maeneo wakiwashinikiza wasaidizi wao na ndo hao hao tena wasikilize rufaa. Haya si maigizo tu? Shame to our NationMATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Tumia kichwa kufikiri,sio ma.ta.ko.Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Hebu weka hiko kipande kipo kwenye sheria au kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa?Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Hili hapa tahira jingineHaijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Pumbavu kweli huyo Jafo..Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo amesema vyama vya siasa ndivyo vimejitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa sio wagombea, na kwamba wagombea wa vyama vilivyojitoa waliokata rufaa, matokeo ya rufaa yakitoka na wakishinda, majina yao yatajumuishwa kwenye karatasi za uchaguzi..
Hoja:
Ivi mtu akienguliwa na chama huwa anabaki kuwa mwanachama? Na mtu akivuliwa uanachama na ni diwani au mbunge huwa anabaki na cheo chake? Hii sheria imetungwa lini?
Kwanini wanalazimisha ushiriki kwanini hawafurahi wapinzani kuwaachia waendelee kushinda bila lupingwa
swali ni kwanini wali kata rufaa wakijua hawatashiriki uchaguz??
wakikataa wachukuliwe hatua