Mbowe kuwakataza watu kugombea ni demokrasia???
Kiukweli Chadema ni kichaka cha wakora,yaani kakikundi ka kina Mbowe na washirika wao wachache wanawatesa wanachadema nchi nzima ,aibu kubwa sana kwa wanachama wote
Unaelewa maana ya dhamana? Form walizojaza umezisoma ukaelewa role ya chama kinachotoa dhamana?
Jibu maswali niyokuuliza. Hizo "lakini" ninkuonesha kuna walakini. Tanzania hakuna sheria inayoruhusu wagombea huru/binafsi. Huyo mgombea atafanyaje kazi na hana chama kilichomdhamini?Lkn katika sheria na kanuni hakuna kipengele kinachosema chama kinaweza kujitoa kwenye uchaguzi, bali mgombea anaweza kujitoa.
Duuh Mbowe ndo kakataa kuwateua kugombea !?!?Mbowe kuwakataza watu kugombea ni demokrasia???
Jibu maswali niyokuuliza. Hizo "lakini" ninkuonesha kuna walakini. Tanzania hakuna sheria inayoruhusu wagombea huru/binafsi. Huyo mgombea atafanyaje kazi na hana chama kilichomdhamini?
Tatizo wanaccm tunasahau baraka,au kwa kuwa uwezo wetu unaishia urefu wa pua zetu?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
1. Unafikiri kwa nini watapitishwa tu hao wachache wa upinzani? Ili kuuaminisha ulimwengu kwamba walikuwepo na wa upinzani na walishinda kwenye sanduku la kuraKwa hiyo baadaye uchaguzi utabidi urudiwe kwa sababu mpinzani huyo hatakuwa na chama kinachomdhamini!
Wewe Mbwa mnaobwabwaja humu akili hauna mtu ameenguliwa huyo mgombea mwingine atakuwa mama yako??Kwani kwenye chama kuna mgombea mmoja? Kama kaenguliwa na wengine wamepitishwa kwenye chama husika kwanini aliyepitishwa asigombee?walioamua kususia wenyewe wana nafasi zao top rank.huoni wamewanyima haki hawa waliopitishwa kugombea uenyekiti?mbona zile chaguzi za marudio za ubunge baada ya kuunga juhudi hawakujitoa?,hakukuwa na figisu?,upinzani wapumbafu sana.
Katiba hairuhusu mgombea binafsi,sijasema kama kuna mtu kagombea binafsi,ila anaweza kuenguliea binafsi kwasababu anagombea nafasi moja,(mtaa).chama kinagombea nafasi nyingi(mitaa),kwahiyo akienguliwa mmoja au kadhaa...wengine waendelee..
Moshi washakinukisha huko... Office ishapigwa MotoMtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Naninkakatazwa WE popoma?Haijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Umeisoma katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Chama ndo kinampa tiketi mwanachama ya kugombea,chama kikisema basi hakuna wa kugombea .Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Badala ya kuomba huduma stahiki za kiafya yeye aliomba mortuary.Jafo ana upeo mdogo sana wa kufikiri na kuamua. Kwa sasa naamini angekuwa anatumia utashi wake vilivyo angejiuzulu
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Wewe ukiwa paka inatosha...[emoji1690][emoji1690]Wewe Mbwa mnaobwabwaja humu akili hauna mtu ameenguliwa huyo mgombea mwingine atakuwa mama yako??
Unayaweka kwa nguvu lkn sisi hatutoenda kupiga kuraMtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?