Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Mbowe kuwakataza watu kugombea ni demokrasia???

Hili labda ni zee fulani linaloheshimika lakini ni lijinga lisilomfano.

Hivi watagombeaje wakati wameenguliwa?

Alichokifanya Mbowe kwa akili yako ya Futari huwezi elewa.
 
Ila wewe ni kibaka unayekaa Lumumba kusubiri makombo kutoka kwa makondest
Kiukweli Chadema ni kichaka cha wakora,yaani kakikundi ka kina Mbowe na washirika wao wachache wanawatesa wanachadema nchi nzima ,aibu kubwa sana kwa wanachama wote
 
Unaelewa maana ya dhamana? Form walizojaza umezisoma ukaelewa role ya chama kinachotoa dhamana?

Lkn katika sheria na kanuni hakuna kipengele kinachosema chama kinaweza kujitoa kwenye uchaguzi, bali mgombea anaweza kujitoa.
 
Lkn katika sheria na kanuni hakuna kipengele kinachosema chama kinaweza kujitoa kwenye uchaguzi, bali mgombea anaweza kujitoa.
Jibu maswali niyokuuliza. Hizo "lakini" ninkuonesha kuna walakini. Tanzania hakuna sheria inayoruhusu wagombea huru/binafsi. Huyo mgombea atafanyaje kazi na hana chama kilichomdhamini?
 
Jibu maswali niyokuuliza. Hizo "lakini" ninkuonesha kuna walakini. Tanzania hakuna sheria inayoruhusu wagombea huru/binafsi. Huyo mgombea atafanyaje kazi na hana chama kilichomdhamini?

Hakuna mgombea binafsi.
Kanuni ni kwamba, wagombea wanawakilisha vyama. Kujitoa au kubaki katika uchaguzi ni utashi wa mgombea.
 
Hali ya hivi sasa ni baadhi ya watu kujiona kuwa wao ni watanzania zaidi kwa sababu ni wanaccm yaani wamejimilikisha nchi na wasio wanaccm ni magarasa.
 
Jafo Yuko sahihi.

Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Tatizo wanaccm tunasahau baraka,au kwa kuwa uwezo wetu unaishia urefu wa pua zetu?
 
Kwa hiyo baadaye uchaguzi utabidi urudiwe kwa sababu mpinzani huyo hatakuwa na chama kinachomdhamini!
1. Unafikiri kwa nini watapitishwa tu hao wachache wa upinzani? Ili kuuaminisha ulimwengu kwamba walikuwepo na wa upinzani na walishinda kwenye sanduku la kura
2. Unafikiri ni nani atawapitisha hao hata kama hawajapigiwa kura?. Basi huyo aliempitisha ndie ana maamuzi ya kuona na kuamua uchaguzi urudiwe ksbb hana chama kinachomdhamini au aendelee hivyo ili movie iendelee.
3. Kwa sasa usiitegemee katiba kwa jambo lolote. Tegemea huruma ya watu fulani fulani
 
Kwani kwenye chama kuna mgombea mmoja? Kama kaenguliwa na wengine wamepitishwa kwenye chama husika kwanini aliyepitishwa asigombee?walioamua kususia wenyewe wana nafasi zao top rank.huoni wamewanyima haki hawa waliopitishwa kugombea uenyekiti?mbona zile chaguzi za marudio za ubunge baada ya kuunga juhudi hawakujitoa?,hakukuwa na figisu?,upinzani wapumbafu sana.

Katiba hairuhusu mgombea binafsi,sijasema kama kuna mtu kagombea binafsi,ila anaweza kuenguliea binafsi kwasababu anagombea nafasi moja,(mtaa).chama kinagombea nafasi nyingi(mitaa),kwahiyo akienguliwa mmoja au kadhaa...wengine waendelee..
Wewe Mbwa mnaobwabwaja humu akili hauna mtu ameenguliwa huyo mgombea mwingine atakuwa mama yako??
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Moshi washakinukisha huko... Office ishapigwa Moto
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Umeisoma katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania? Chama ndo kinampa tiketi mwanachama ya kugombea,chama kikisema basi hakuna wa kugombea .
 
.
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
IMG-20191110-WA0115.jpeg
 
Nimemkumbuka Yule Mama Kikotoo Wa Mafao Unapostaafu
Alibadilikiwa Akamwagwa. Uchuguzi Huu Acha Tuone
 
Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Unayaweka kwa nguvu lkn sisi hatutoenda kupiga kura
 
Back
Top Bottom