Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Hakuna Cha kutumia ubabe Wala Nini Seema Jafo na kundi lake tumewaelewaHaijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna Cha kutumia ubabe Wala Nini Seema Jafo na kundi lake tumewaelewaHaijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Soma sheria uzielewe bila kuwa na chama/mwanachama huwezi kugombea, na mzamini mkuu wa mgombea ni chama chakeAnatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Akili huna, hujui kua hakuna mgombea anaeruhusiwa bila kua na mdhamini ambae ni chama cha siasa? Chadema na ACT wamesema hawamdhamini mgombea yeyote katika uchaguzi huu, hivo atakaegombea chini ya udhamini wa vyama hivyo ni mgombea haramu na ni zaidi ya mwanaharamu. Serikali inalazkmisha jua itawatambua!!! Kwa sheria ipi? Mliwaengua kwa mbwembwe sasa mnawarudisha kimyakimya!!!! What a shame.Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Mkuu, hiyo itakuwa ni demokazia na wala siyo demokrasia.Mtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Sasa mnataka kutulazimisha, mimi nilikuwa mgombea, Chama changu kimetangaza kujitoa kwenye uchaguzi mimi nasimama pale kama nani ?, naheshimu maagizo ya Mwenyekiti wangu wa Taifa, acheni hizo nyieJafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Hakuna ubabe sisi hata kujiandikisha hatukujiandikisha yeye mbowe amechelewa sana kuchukua maamuzi hayo sahihiHaijatumika demokrasia kuwakataza watu wasigombee
Mbowe ametumia ubabe
Taratibu zipi mzee wakati wagombea hawakupitishwa?Kuna taratibu rasmi za kujitoa.
Umesikia makosa yanayodaiwa kufanywa na wagombea wa Upinzani ? Eti waliambiwa wanatakiwa kujaza (kwa mfano - Neno ACT kwa kirefu, wakati huohuo aliejaza ccm anaonekana hajakoseaELIMU ELIMU ELIMU
Ukienda Bank, Form ya kuwekea hela na kutoa unaelekezwa namna ya Kujaza
Mitihani Yote Shulee karatasi ya Majibu unaelekezwa namna Ya Kujaza hata kwa mwenye Phd
Cheti Cha Ndoa Wanakuelekeza namna Ya kusign na ukikosea unarekebisha
Na vingine Vingi! Waseme mtu amekatwa amekosa vigezo lakini Sio kisa Fomu Haikujazwa inavyotakiwa huuu ni Uongoooooooooooooooooooo
Fomu za HESLB ukikosea Unaitwa kwenda Kurekebisha,hakuna mtu perfect
JAFO TAFAKARIII
Mgombea anadhaminiwa na chama chake,sasa kama chama kimeamua kutomdhamini mgombea.Huyo mgombea anaenda kukiwakilisha chama gani?Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Sio ana upeo mdogo anafanya makusudi sanaa anajua mipango yao na maovu yao yote waliyopanga kufanya dhuluma waache waendelee kufanya dhuluma ili matumbo yao na familia zao ziendelee kushibaJafo ana upeo mdogo sana wa kufikiri na kuamua. Kwa sasa naamini angekuwa anatumia utashi wake vilivyo angejiuzulu
Wanataka kula nyama ya nguruwe kwa kufumba macho . Ahahahaaaa [emoji28][emoji23][emoji1787]. AnazinguaMtu anasema nimejitoa, sitaki, wewe unasema nitakuweka kwa nguvu! Jafo, hivi unakosa kitu gani/unapata hasara gani/ipi mtu akijitoa?
Wadhamini wao watakuwa kina nani?Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Huyu jamaa sijui aliishia darasa la ngapi MKUU?Akili matope
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
Wakati wasimanizi hao wanawakimbia , walikimbia nini chama au watu ?!Jafo Yuko sahihi.
Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Acha povuu huwez lazimisha,tushaamua hakuna wa kutupangiq kaa imekuuma chomoa uweke gunziIwaite wakiojitoa kwa lipi? Hakuna mgombea hata mmoja aliyepitishwa wa vyama vya upinzani aliyetangaza kujitoa.Kelele zote za kujitoa ni za viongozi wa juu wa vyama ambao sio walioomba kugombea.Aliyeomba kugombea ndie anatakiwa atamke kujitoa na kumwambia msimamizi kuhusu udhamini wake kuondolewa pia.Wachukua fomu wote wako.kimya wanaobwabwaja na kuchonga Sana midomo ni wa makao makuu ya vyama Tena wanabweka mitaani sio.kwenye Ofisi za wasimamizi wa chaguzi
Huyu jamaa ni kilaza sijawai ona mkuuKweli nimeamini nyie watu mshakuwa misukule tayari