Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

Hii mbona.. mbona... ndio inawakost..sasa mimi na wewe hapo nani kafikiria umbali wa pua yake,mngekuwa mnajitambua kwa hivi vitu vidogo hata chama tawala kingekuwa kinashindwa namna ya kuburuza upinzani,haya mambo mbona wao wamefanya hivi...vile.... yanaonyesha hamjielewi,na ndio mnakandamizwa hapo,sasa subiri lungu la msajili,atawatafutia sababu halafu anawachinjia baharini mazima.ngoja tuone.
Kama una watoto nauona ugumu wanaopata waalimu shulen huko ka kwel we ndo baba yao,wapite ccm wapite chadema hakun atakaekuja kukuletea chakula nyumban huko,umekaa hapa kuwasifia wanaume wenzio kwa huu upuuzi wanaofanya
 
Hivi Tanzania mgombea binafsi anaruhusiwa?
Serekali ya CCM ilipinga haitaki kusikia kitu kama hicho. Ingawa katika uwepo wa wagombea binafsi ungewasaidia ktk mazingira kama haya.
 
Chadema hakuna wanasheria huwezi Tama tamko uchochoroni halafu eti msimamizi wa uchaguzi alifanyie kazi awatoe wagombea wote wa Chadema waliopitishwa kwa kauki ya kijiweni ya Mbowe au Zitto Kabwe

Jafo Ana akili nyingi Yuko sahihi ni.mtetezi dhabiti wa wote waliopitishwa wapate haki yao
Na hata akiwatoa siku CDM akisema hatukujitoa jafo atasimamia utetezi gani
 
Kama una watoto nauona ugumu wanaopata waalimu shulen huko ka kwel we ndo baba yao,wapite ccm wapite chadema hakun atakaekuja kukuletea chakula nyumban huko,umekaa hapa kuwasifia wanaume wenzio kwa huu upuuzi wanaofanya
Bwege wewe...!! Nani kakwambia nna njaa...kafie mbele huko.[emoji867][emoji867]
 
Bwege wewe...!! Nani kakwambia nna njaa...kafie mbele huko.[emoji867][emoji867]
we njaaa kali unaejificha kwenye chama na kama c njaa kali unatumia kadi ya ccm kuuzia ngada vijanaa mtaani huko kwan kwa nnayoyaona watu wa ccm wanayofanya na hiz kadi n kama za kuhalalishia biasharaa haramu hasa gongo,mirungii na bangii hilo liko wazi
 
MATOKEO YA RUFAA ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUTOLEWA NOVEMBA 10.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI SELEMANI JAFO akizungumza Jijini Dodoma amesema katika zoezi la kuchukua fomu kuna makosa mbalimbali yalifanyika katika kujaza fomu nyingi ikiwa ni pamoja na kaukosea majina ya eneo pamoja na udhamini. .
.
Akizungumza jijini Dodoma JAFO amesema kuwa kutokana na ziara aliyoifanya katika sehemu mbalimbali amegundua uwepo wa makosa hayo ambapo amesema baadhi ya maeneo wagombea wameigana na kufanya makosa yanayofanana. .
.
Amesema katika zoezi la kuchukua fomu asilimia zaidi ya 98 wagombea wamerudisha fomu na rufaa zaidi ya 13,000 zimewasilishwa ambapo kesho ndio rufaa zitatolewa ili kujua ngapi zimekubaliwa na ngapi zimekataliwa kwa wagombea wote waliowasilisha mapingamizi bila kujali vyama vilivyojitoa kwenye uchaguzi na watakaoteuliwa majina yao watakuwepo siku ya uchaguzi.
Kumekucha
 
Chanzo cha matatizo yote haya ni Kikwete kijifanya ni mjuaji!! Ona kitu kinachoendelea sasa Tz, ni matokeo ya upuuzi wa Kikwete wakati wa kura za maoni. Akiwa km mwenyekiti alikua na uwezo wa kukataa kutuachia huyu mtu! Na wamekaa kimya as if hakuna kinachoendelea! Hii dhambi watajibu wastaafu wote siku moja. Wametuachia viongozi "sadist" kuanzia raisi hadi mwenyekiti wa kitongoji.
 
KITAKACHOTOKEA HAPO UTASIKIA RUFAA KARIBIA ZOTE ZIMEKUBALIWA. where are we going?
Exactly my thoughts. Lazma wakubali rufaa kibao ili kuonyesha uchaguzi una upinzani. Na wagombea wa upinzani walivyo na njaa watalazimisha kubak uchaguzini wakiaminishwa kuna watakaoshinda. Daw ni kuwafuta uwanachama wote vimbelembele kabla ya siki ya chaguzi.
 
Hata ukishinda rufaa hutashinda kwenye kura, wanachotaka kuwe na wagombea kwenye uchaguzi lakini walibug kuwatoa mapema sasa wanataka kusahahisha makosa yao
Composition ya kamati ya rufaa inaruhusu kamati hiyo kuwa biased.

Kwa jinsi anavyosema naona uwezekano mkubwa wa rufaa zote kukubaliwa.

subirini
 
Vyama vimewafutia udhamini wagombea wao lakini unasema watarudishwa, kwa sheria ipimya mgombea binafsi au ipi!?!?
 
we njaaa kali unaejificha kwenye chama na kama c njaa kali unatumia kadi ya ccm kuuzia ngada vijanaa mtaani huko kwan kwa nnayoyaona watu wa ccm wanayofanya na hiz kadi n kama za kuhalalishia biasharaa haramu hasa gongo,mirungii na bangii hilo liko wazi
Subiri matokeo ya la saba kwanza ,humu achia wakubwa zako tuongee...
 
Baada ya kubandika majina kwa hata ya wale waliyojitoa...

Huku na huko, yule aliyejitoa ni mpinzani alafu akaibuka na kura nyingi, kwa maana kapita...

je watamtangaza kua mshindi?

Cc: mahondaw
Umefikiri mbali sana kiufupi hilo halitowezekana, kwani hata kama ukiwepo waweza kushinda na usitangazwe. Wanatafuta namna ya kufuta aibu ya kujitakia kabisa.
 
Hivi kweli kweli waliochukua fomu kupitia vyama pinzani ni vilaza kuliko wanaccm wote waliochukua fomu?
Nauliza tu kwa sababu sijasikia mwana ccm aliyeenguliwa haet kwa kujaza fomu vibaya.

Inamaana kama kuna semina na maelekezo yaliyotolewa, basi yalitolewa kwa wanaccm tu na vyama pinzani watu wao awakupewa hayo maelekezo?

Nigeshauri Fomu zote ziwekwe wazi ili watu wajiridhishe kuwa wamekosea au wameonewa.
Cha ajabu wengine ndio wenyeviti mpaka sasa, maana yake 2015 walijaza fomu zikawa sawa na wakagombea na kushinda. Wengi wao ni wazoefu wa siasa hawawezi fanya kosa kama hilo ndo maana maeneo mengine watendaji walikuwa wanafungua ofisi usiku kama mabundi
 
Jafo Yuko sahihi.

Mchakato ulishakamilika .
Mtu aliyegombea ndiye anatakiwa atangaze kujitoa sio atolewe na Chama Hadi dakika hi hakuna mgombea yeyote wa upinzani aliyetangaza yeye binafsi kujitoa kwa wasimamizi wa uchaguzi.Swala la kujitoa ni.la mgombea sio Chama.Chama hakikuomba kugombea.Na hakuna mahali kwenye fomu ya kugombea ambapo Chama kiliomba kugombea
Unaijua katiba ya chama au unabwabwaja tu mkuu.
 
Kuna jamaa anakuuliza suala la wanafunzi wanaopata mimba wewe unafuata chama au kauli ya Jiwe? Maana wanapingana.
Kwani kichwa Cha mada hii kinahusu wanafunzi wenye mimba?
 
Anatakiwa atangaze mgombea aliyechukua fomu ndie atangaze kujitoa sio Chama.Chama hakikuomba popote kugombea.Hivyo hakina mandate ya kusema kinajitoa kwani chenyewe ndicho kilijaza fomu kuomba kugombea?
We hujui kitu unaandika upupu, je ? Unajua katiba ya chadema inasemaje?
 
Wote wa vyama vya upinzani mlioidhinishwa kugombea kutokea Chadema na ACT msikubali kuachia Ni haki yenu kisheria na kidemokrasia

Mumeshadhibitishwa asiwatishie mtu nyau Ni haki yenu kupigiwa kura
 
We hujui kitu unaandika upupu, je ? Unajua katiba ya chadema inasemaje?
Uchaguzi huu ni wa serikali sio wa ndani wa Chadema.Huu unasimamiwa na Sheria na taratibu za nchi.Katiba yenu bakini nayo mlishawadhamini wamepitishwa kalaleni.Acheni wapigiwe kura
 
Back
Top Bottom