shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,693
- 1,432
huyu jamamaa. i...kama sijakosea serikali ilishajitoa kwenye hayo mabiashara iasema yenyewe iwe inakusanya kodi...kama ilikuwa inataka mji upendeze ingewawezesha watu wakope wafanye hilo jambo washughulike kulipa deni dhamana ikiwa hilo jengo...wangeanzisha fursa ambazo watu angevutiwa kuwekeza hivyo vitu..sasa wanawekeza wenyewe nayaona kakazi ya mijusi na popo mda sio mrefu gharama za kuyatunza na hasara lukuki sidhani kuna raisi ajae ambaye atapendelea kuka dodoma fursa za kiuchumi zikipungua dodoma watu wataanza kukimbia wenyewe uchumi wa dodoma ni hovyo kabisa unategemea people spending hakuna viwanda na hakuna atakayependelea kuweka kiwanda hapo maji chumvi asafirishe material kutoka bandarini alafu arudishe bidhaa kwenye soko mama dsm..by the way tano tenaunajua siku hizi hata frames watu wanazikimbia?mtu alikuwa anauza nguo leo anauzia kwenye gari au nyumbani au wanachukua kaduka uchwara wanachanga,mmoja naweka vi glasses nje mwingine ndania na bidhaa nyingine, time will tell akili yao yote iko kwenye kufanya biashara siyo kufacilitate watu wafanye bishara
ule mpnago wa kujenga petrol stations uliihsia wapi?mana naskia zipo tattu tayari za serikali,ushaona akili ya hawa jamaa?juzi waziri wa burudani anakuambia anataka Netflix ya taifa usije shangaa wakataka iwe ya serikali
Agh mambo ni mengi sana yanashangaza,jengeni tu anyway ..sawa pigeni business