Licha ya kuua biashara hata mapato ya vilabu vya pombe yanaenda benki kuu unategemea hayo mapato halmashauri zitayapata wapi. Antenna ya serikali kuu ipo busy kutafuta mapato ikigundua mwanya mpya inatolewa control namba tu. kwishney!Mnaua uwekezaji, mnaua biashara, mnategemea hizo halmashauri zenu zitapata wapi mapato?
Soko kuu mbeya limedorora vibaya mno.hujaelewa points zangu au hutaki kuzielewa ,sehemu nyingi nchini haya ma frames na ma ofisi ni mapambo tu kwa sasa mazingira ya hizo biashara ni HOVYOOOO kabisa serikali iliyotakiwa kuweka mazingira mazuri ya bishara ndo kwanza inayavuruga inatamani kufanya biashara ,usishangae hata wakafungua na baa zao sasa
Ile miradi ya Dar es Salaam Development Cooperation (DDC) iliishia wapi? Walikua na majengo, band ya mziki, kikundi cha ngoma.
Hakuna serikali nyingine iliyowahi kutawala zaidi ya CCM.
mzunguko wa pesa umesinyaa sana,wadada wanauzia nguo nyumbani watu wamerudisha frames,hayo majengo yatakuwa urembo tu labda kama hawategemi wapangajiSoko kuu mbeya limedorora vibaya mno.
kwa mfano wapi dar,arusha na shinyanga hata chato maeneo yliyotengwa..wapi?
Kwa mkoa wa Arusha unawakaribisha wadau wote kuwekeza katika maeneo haya na mengine mengi kwa mfano:kwa mfano wapi dar,arusha na shinyanga hata chato maeneo yliyotengwa..wapi?
Kwa wilaya ya Chato kuna fursa katika sekta ya uvuvi, ufugaji,kilimo na ujenzi wa viwanda na biashara.kwa mfano wapi dar,arusha na shinyanga hata chato maeneo yliyotengwa..wapi?
Miaka ile ikiitwa BSc Home economics and human nutrition.Halmashauri ya chato,chemba iliyo Dodoma, siha, mwanga, iramba, urambo, kakonko, Hadi yesu arudi hazitakaa zijitegemee. Jaffo unakuwa Kama mahoka kumdanganya mkuu wa nchi. Uliosoma Home economics SUA hukua muongo ,umeharibika lini?
Mkuu nadhani kinachofanya watu wakimbie hizo frem na vibanda ni kodi kubwa kutoka kwa wamiliki wake. Wamiliki wanaishi kwa kukariri unakuta frame moja mmiliki anataka laki, laki tatu, tano wengine mpka mill. kwa mwezi bila kujali hali halisi ya uchumi.hujaelewa points zangu au hutaki kuzielewa ,sehemu nyingi nchini haya ma frames na ma ofisi ni mapambo tu kwa sasa mazingira ya hizo biashara ni HOVYOOOO kabisa serikali iliyotakiwa kuweka mazingira mazuri ya bishara ndo kwanza inayavuruga inatamani kufanya biashara ,usishangae hata wakafungua na baa zao sasa
Ndiyo wameisoma akina Esther Matiko (aliyekuwa mbunge wa Tarime) na wengine kibao nawaona kwenye mashirika ya UN wanakula bata. Zamani ilikuwa inachukuliwa kama kozi ya wanawake.Asante, hiyo course watu walikuwa wanaidharau Sana hata ajira zake hazikuwepo .
Wewe unawekeza kwenye nini hapo?Kwa mkoa wa Arusha unawakaribisha wadau wote kuwekeza katika maeneo haya na mengine mengi kwa mfano:
1. fursa mbalimbali za uwekezaji katika nyanja za Utalii,Viwanda,Mifugo na Kilimo.
2. Sekta ya ufugaji ni Ujenzi wa Majoshi yakuogeshea mifugo; Upatikanaji wa Soko maalumu la kuuzia mifugo; Upatikanaji wa Soko la bidhaa zinazotokana na Ng'ombe kama vile; Ngozi Maziwa na Nyama; Uwazishwaji wa Viwanda vya kusindika Nyama na Ngozi; na Uwazishwaji wa Viwanda vya kutengeza bidhaa zinazotokana na Maziwa ya Ng'ombe.
3.Katika Sekta ya Viwanda fursa za Uwekezaji zipo katika viwanda vya kusindika bidhaa zitokanazo na Wanyama kama Ng'ombe na Mbuzi na viwanda vya kutengeneza Mazao yatokanayo na Kilimo.
4. Fursa katika sekta ya utalii ni Uboreshaji na ujenzi wa Hotel za kitalii zenye Campsites na kumbi za mikutano; Kuanzisha maeneo ya historia ya Makabila kama moja ya kivutio cha utalii; Kutangaza vivutio vya utalii wetu ndani ya Mkoa,nchi na nje ya nchi; na Kuboresha huduma ya usafiri kwa watalii wanaoingia Mkoani.
Hahahahahahah kweli kabisaIle miradi ya Dar es Salaam Development Cooperation (DDC) iliishia wapi? Walikua na majengo, band ya mziki, kikundi cha ngoma.
Hakuna serikali nyingine iliyowahi kutawala zaidi ya CCM.
"Rais Magufuli aliagiza litafutwe eneo karibu na Dodoma mjini kujenga uwanja huo na kuhakikisha linapatikana eneo zuri kuelekea njis ya Dar es Salaam. Karibu ekari 300 zipo tayari kwa ajili ya hoteli na hosteli kwa vijana na majumba makubwa ya michezo." Kule Nara eneo ekari 150 lakini lilikuwa na chagamoto zake nyingi na kupelekea hata CDA kuvunjwa milele.Mirad imeegemea upande mmoja wa mji kwanini uwanja ulikuwa ujengwe nala wakahamisha wakapeleka nane nane,
Nane nane kujengwe stand soko ,na bado uwanja tena.. Mbona hii kama hii haiji.
Huku kutajazana kila kitu !! ,kwanini kusiwe na mgawanyiko wa vitega uchuki kwenye mji !!, huoni ukuaji wa mji kuelekea singida unakuwa mgumu tofauti na njia ya DSM."Rais Magufuli aliagiza litafutwe eneo karibu na Dodoma mjini kujenga uwanja huo na kuhakikisha linapatikana eneo zuri kuelekea njis ya Dar es Salaam. Karibu ekari 300 zipo tayari kwa ajili ya hoteli na hosteli kwa vijana na majumba makubwa ya michezo." Kule Nara eneo ekari 150 lakini lilikuwa na chagamoto zake nyingi na kupelekea hata CDA kuvunjwa milele.
View attachment 1695921