Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

Kuwekeza kunawezakuwa na tija lakini ni vizuri wakajifunze kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambao ulikuwa na vitega uchumi chini ya DDC. Vile vile kuna Chama cha Ushirika cha Mkoa Kilimanjaro, kilikuwa na KNCU Hotel lakini miradi hiyo haiingizi fedha tena kama ilivyokuwa imetarajiwa.
 
Umesema vema ! Lakini tunatarajia mafanikio makubwa kwa sababu ya utawala wa mhe.John Magufuli unapinga ufisadi

 
Huku kutajazana kila kitu !! ,kwanini kusiwe na mgawanyiko wa vitega uchuki kwenye mji !!, huoni ukuaji wa mji kuelekea singida unakuwa mgumu tofauti na njia ya DSM.
Kuna mgawanyo mzuri wa kitaalamu kama ukitazama master plan ya jiji la Dodoma na wilaya za mkoa wa Dodoma kama makao makuu ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…