Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

Vikundi vya waasi kule Congo na nchi nyingine kumbe wanaweza kuwa na hoja ya msingi ya kwanini wanapambana
Aisee vita sio nzuri ila sasa kwa haya yanayotokea chini ya ya huyu mshenzi mwenye bichwa ka korosho natamani wapatikane wadhamini nishike bunduki kama nikifa poa ila wapo watakaofaidi kupitia damu yangu, nina hasira isiyovumilika, huku kwetu karibu viongozi wote waandamizi jana wamekamatwa hadi mda huu wapo mahabusu kisa wanadai form ya mgombea. Shenzi sana hawa inzi wa kijani wakiongozwa na mwenyekiti wao shithole.
 
Nataman ningekuwa ndiye huyo mwandishi niliye muhoji
 
Wapinzani wa Tanzania danganyweni kirahisi namna hiyo na mchezo wa kuigiza wa Jafo na ccm yake.
 
Kama FIGUSU ni za kawaida kwa nini mliwalazimisha watu kujiandikisha mpaka ukaongeza muda!!???
Wengi tz hawajitambui!!!
Furahia tuuh jafo ila malipo ni hapa duniani....
 
Mimi sina shida na figisu figisu; shida yangu ni pale figisu zinapofanywa na chama kimoja tu huku dola inakikingia kifua chama hicho.
Halafu Jafo akawadanganye mapopoma wa Lumumba hizo nchi alizotaja kakaririshwa hawana figisu hizo za kufunga ofisi za uchaguzi wala kupora fomu za wagombea.
Namshauri ajiheshimu maana hadi hapo kaanika makalio.
 
Hata mimi nitashika tu tena na haya mafunzo niliyopata yananitosha saana
 
Mwenyewe mbowe simuelewi aise
 
Jaffo amewataka wapinzani wajue kwamba hizo figisu ni za kawaida sana kwenye siasa kwani hata nchi kubwa mfano Marekani, Uingereza na Israel wanapitia figisu hizo.
Nachukia sana napoona kiongozi anayetolea mfano wauovu wa nchi nyingine. kwa hiyo kama watu wanauana kama Marekani nasi tuone ni la kawaida tuige kuuana?
 
Tulipofikia panasikitisha

Nawasihi sana vyama vya siasa kwa hatua hii inayoendelea waite waandishi wa habari na kutangaza rasmi kuacha kushiriki uchaguzi huu nchi yote na watangaze huo mgomo ili warudi kwenye meza ya maridhiano kuliko aibu hii kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…