warthog gun
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,466
- 1,260
Aisee vita sio nzuri ila sasa kwa haya yanayotokea chini ya ya huyu mshenzi mwenye bichwa ka korosho natamani wapatikane wadhamini nishike bunduki kama nikifa poa ila wapo watakaofaidi kupitia damu yangu, nina hasira isiyovumilika, huku kwetu karibu viongozi wote waandamizi jana wamekamatwa hadi mda huu wapo mahabusu kisa wanadai form ya mgombea. Shenzi sana hawa inzi wa kijani wakiongozwa na mwenyekiti wao shithole.Vikundi vya waasi kule Congo na nchi nyingine kumbe wanaweza kuwa na hoja ya msingi ya kwanini wanapambana