Waziri Jafo: Hakuna mtendaji kufunga ofisi leo ili watu wote waliochukua fomu waweze kuzirejesha. Hakuna uchaguzi duniani usio na figisu figisu

Jinga sana huyu eti ni figisu za kawaida tu
Je wagombea wa ccm wangekuwa wanafanyiwa huo uhuni angesema hivyo..?
 
Ili kuepuka kuwa na nyuzi nyingi naomba wote tutupie huku, ofisi gani, wapi bado imefungwa, uporaji wa fomu kwa bunduki na namba za magari yanayofanya utekaji bila kusahau watu husika.
 
Uongo uliotukuka. Ameongea kinyumeeeeee
Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili.

Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa

Tarehe 17/11/2019 kampeni zitaanza rasmi.

Mh Jafo amesema yeye ni Waziri kijana sana ndio maana uchaguzi huu umekuwa wa mafanikio makubwa ukilinganisha na chaguzi za siku za nyuma.

Jafo ameahidi kuchunguza malalamiko yote yaliyoripotiwa na hata sasa maafisa wake wametapakaa kila wilaya kukusanya data na malalamiko hayo.

Watendaji wengi wa kata wamewafanyia hujuma sana wapinzani hasa CHADEMA katika zoezi zima la uchukuaji na urudishaji wa fomu za kuwania Serikali za mtaa.

Jaffo amewataka wapinzani wajue kwamba hizo figisu ni za kawaida sana kwenye siasa kwani hata nchi kubwa mfano Marekani, Uingereza na Israel wanapitia figisu hizo.

Waziri Jafo amesema hayo akihojiwa mubashara na Janeth Mwakalinga wa Star tv.
 
Sasa WATENDAJI wa kata wamsikilize nani, wewe Waziri wa TAMISEMI au yule WAZIRI WA TAMISEMI aliyewaita MAGOGONI??
 
Hivi hawa viongozi wa Upinzani kwanini hawachukui maamuzi magumu juu ya mwendo mzima wa uchaguzi? Kama kuchukua na kurudisha fomu mambo yako hivi je Kampeni na uchaguzi na kutangaza matokeo itakuwaje?
 
Chadema mnahofu hadi kwenye kijambio ,kila siku woga tu mnaishi kwa hofu kama wapika gongo

State agent
 
Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili.

Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa

Tarehe 17/11/2019 kampeni zitaanza rasmi.

Mh Jafo amesema yeye ni Waziri kijana sana ndio maana uchaguzi huu umekuwa wa mafanikio makubwa ukilinganisha na chaguzi za siku za nyuma.

Jafo ameahidi kuchunguza malalamiko yote yaliyoripotiwa na hata sasa maafisa wake wametapakaa kila wilaya kukusanya data na malalamiko hayo.

Watendaji wengi wa kata wamewafanyia hujuma sana wapinzani hasa CHADEMA katika zoezi zima la uchukuaji na urudishaji wa fomu za kuwania Serikali za mtaa.

Jaffo amewataka wapinzani wajue kwamba hizo figisu ni za kawaida sana kwenye siasa kwani hata nchi kubwa mfano Marekani, Uingereza na Israel wanapitia figisu hizo.

Waziri Jafo amesema hayo akihojiwa mubashara na Janeth Mwakalinga wa Star tv.
Aache ufala tunajua hawezi kwenda tofauti na bosi wake
 
Mimi nilijua mtu akiwa na wake wanne ndio huwa na akili , kumbe nilikosea sana ! sasa Mtukufu Jaffo hilo tamko kwanini limekuja leo ?
 
Ni aibu kwa waziri mwenye dhamana ya mambo ya uchaguzi serikali za mitaa kutokuchukulia suala za integrity ktk ishu ya uchaguzi kwa uzito unaotakiwa
 
Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili.

Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa

Tarehe 17/11/2019 kampeni zitaanza rasmi.

Mh Jafo amesema yeye ni Waziri kijana sana ndio maana uchaguzi huu umekuwa wa mafanikio makubwa ukilinganisha na chaguzi za siku za nyuma.

Jafo ameahidi kuchunguza malalamiko yote yaliyoripotiwa na hata sasa maafisa wake wametapakaa kila wilaya kukusanya data na malalamiko hayo.

Watendaji wengi wa kata wamewafanyia hujuma sana wapinzani hasa CHADEMA katika zoezi zima la uchukuaji na urudishaji wa fomu za kuwania Serikali za mtaa.

Jaffo amewataka wapinzani wajue kwamba hizo figisu ni za kawaida sana kwenye siasa kwani hata nchi kubwa mfano Marekani, Uingereza na Israel wanapitia figisu hizo.

Waziri Jafo amesema hayo akihojiwa mubashara na Janeth Mwakalinga wa Star tv.

Huu ni ni ushahidi tosha..
 
Sasa vijana Chadema komaeni. Tembeeni vikundi hasa mgombea asitembee peke yake. Kwa maneno hayo ni baraka zimetolewa kwa wale wajamaa. Kulipiza kisasi ni muhimu.
 
Hawana akili kabisa,mimi kama nataka kukufanyia figisu nahakikisha nafuata sheria zote halafu mnapiga kura then si wakurugenzi wanasimamia uchaguzi?sasa hapo sasa iki wanachokifanya ni kuwa na akili ndogo isiyofikiria.Swali kama CCM inafanya vizuri kila kitu na Raisi anakubalika kama mnavyojitabpa so why mnaogopa wapinzania ambao mmeshawakanyagakanyaga kila mahali ?yaani sijapata jibu .
 
Ni vema sasa Mbowe asitishwe tusishiriki kwenye huu uchafuzi tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, maneno na kulalamika hakutatusaidia inatakiwa vitendo maana ccm wanafanya hivi kwakujua watanzania ni waoga ni watu wa kulalamika tu matendo hakuna.
 
Waziri wa Tamisemi mh Jafo amesema ni marufuku kwa mtendaji katika eneo lolote ndani ya JMT kufunga ofisi kabla wagombea watarajiwa hawajarejesha fomu zao labda kama mgombea huyo atakuja baada ya saa 10 kamili.

Kesho na keshokutwa ofisi zitapokea mapingamizi na tarehe 7/11 rufani zitasikilizwa

Tarehe 17/11/2019 kampeni zitaanza rasmi.

Mh Jafo amesema yeye ni Waziri kijana sana ndio maana uchaguzi huu umekuwa wa mafanikio makubwa ukilinganisha na chaguzi za siku za nyuma.

Jafo ameahidi kuchunguza malalamiko yote yaliyoripotiwa na hata sasa maafisa wake wametapakaa kila wilaya kukusanya data na malalamiko hayo.

Watendaji wengi wa kata wamewafanyia hujuma sana wapinzani hasa CHADEMA katika zoezi zima la uchukuaji na urudishaji wa fomu za kuwania Serikali za mtaa.

Jaffo amewataka wapinzani wajue kwamba hizo figisu ni za kawaida sana kwenye siasa kwani hata nchi kubwa mfano Marekani, Uingereza na Israel wanapitia figisu hizo.

Waziri Jafo amesema hayo akihojiwa mubashara na Janeth Mwakalinga wa Star tv.
Kwa hiyo hata mpinzani akishinda afu akatangazwa wa CCM hizo nazo zitakuwa ni figisu za kawaida? Hivi ninyi mapopoma mkoje?
 
Back
Top Bottom