Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Jafo kwa kitendo hicho Hamsaidii sana JPM, sana sana anampunguzia heshima kwa wafanya kazi serikalini.Sasa kati ya Jafo na Jpm nani bora.
Madhara yake tutayaona kwenye uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jafo kwa kitendo hicho Hamsaidii sana JPM, sana sana anampunguzia heshima kwa wafanya kazi serikalini.Sasa kati ya Jafo na Jpm nani bora.
Jafo na JPM ni kama chupa na kizibo. Hamna chenye afadhali.Sasa kati ya Jafo na Jpm nani bora.
Jafo na jpm ni kama chupa na kizibo. Hamna chenye afadhali
Watu wenye wake wengi wanakuwaga na roho mbaya sana.Kuna maisha baada ya siasa.
How far are you willing to kutetea madhaifu ya viongozi wa serikali? Inasikitisha kuona tuna wananch Aina yako!Kama anaona kaonewa si aache kazi?
Wew hujielewi ww kwani uko arusha hakuna DED Wala DC ww inakuingia akilini mtu ni meneja unawahamasisha wananchi kutoka wapi? Na kwa nguvu ipi kama meneja wa tarura ilionao. Barabara kwani wananchi wasingeiona au? Mbona huu ujinga awamu zilizopita haukuwepo.Ndio maana mwana taaluma ukiomba kazi kwenye usaili watataka kuona how flexible you are!
Hao kina Pompeo ni mabobezi kwenye taaluma zao,lakin inabidi waende sambamba na Trump. Kama unaona huwezi fuata maelekezo ya mkubwa wa kazi, acha tu kazi.
Tarura kazi kubwa ni kusimamia barabara za wilaya ambazo zinawagusa wananchi wapiga kura. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi,hakuna serikali ilio tayari kuwakosa wapiga kura,kwenye eneo gumu kama Arusha, kisa tu wewe ni mwana taaluma
Jafo kijana mdogo lakini tabia za ajabu kabisa. Na hizo tabia zinamchafulia mkuu wake.Watu wenye wake wengi wanakuwaga na roho mbaya sana.
Tafiti utaniambia!
Hapa Jafo amechemka. Kazi ya meneja ni kujenga barabara. Kazi ya kuhamasisha watu kwenda kwa ufunguzi wa barabara si ya meneja. Ni ya DC, CCM. period!Kwanini huwazi kwa aliemteua
Haha kasi ya kuita washangiliaji daaa!! Jafo namkubali ila kwa hapa kakosea sana tena sanaa.....ukitaka kujua Yale sio majukumu yake ndio maana akawa anajitetea kuwa ilo ni swala la DED jamaa hamsikiliziUmeuona mkataba wake wa kazi?
Umeomba kazi serikalini,na serikali yenyewe ni hii ya ccm unategemea nini?kama hawezi kuendana na kasi yetu ajiuzulu wapo vijana wengi sana wana elimu nzuri tu wanaweza kuchukua nafasi
Kafanyaje?Kwake Jafo maisha ya wengine si kitu, hayana thamani wala maana kwake as long as watoto wake wanakwenda chooni! na maisha ya wake zake wanne (4) na kumfurahisha aliyemteua.
Ni ubatili mkubwa kwa haya anayoyafanya yanayovunja haki za mfanyakazi mtumishi wa Umma!
Kajikombakafanyaje?
Akifuatiwa na da ummyHuyo ndio bingwa wa kuabudu na kusifu.
Fafanua kajikombaje!?Kwake Jafo maisha ya wengine si kitu, hayana thamani wala maana kwake as long as watoto wake wanakwenda chooni! na maisha ya wake zake wanne (4) na kumfurahisha aliyemteua.
Ni ubatili mkubwa kwa haya anayoyafanya yanayovunja haki za mfanyakazi mtumishi wa Umma!