Waziri Jafo umekosea kulazimisha watu wenye taaluma kufanya kazi za propaganda

Nilijisikia vibaya sana niliposhuhudia ule uonevu, my minister was not right
 
Pamoja na kua kiranja katika harakati za Mh. Rais ila hapa ndugu ulitoa boko. Unajituma sana katika utendaji wako ila kuna muda unajitoa ufahamu kwa vitu vya kijinga

1. Kumfukuza Meneja kwa kutokuleta wananchi katika ukaguzi wa miradi. Kazi ya diwani na mkuu wa Wilaya ni nini wao ndio wanahusika na wananchi moja kwa moja?
2. Kumpuuzia mgonjwa aliyezirai ili kuonyesha umwamba wako. Bahati nzuri hakupoteza maisha ila ........
 
Mods wasije kuufuta huu uzi
 

Anajiharibia CV yake aliyoijenga kwa miaka mingi aonekane ni dikteta.
Abalance mizani Kati ya kumfurahisha DR na CV yake maana kotekote anaweza potea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…