Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
hutumii akili wew kila taarifa unaripot kama mwehu unadhan unaweza kunganya watu smart

viwanda elfu 30 ni sawa na wastan wa viwanda 1000 kila mkoa

ivo viwanda waweke majina na location vilipo vinginevyo acha utaahira wa kupost kichwakichwa
 
Kuna wakati tunachoka kabisa kutoa comments kwa habari za ajabu ajabu kama hizi lakini basi tu. Rais ni Rais tu. Hadhi yake iko pale pale bila mauza uza haya. Labda kama mmepania kuishusha.

Idadi ya viwanda Afrika ya Kusini ambayo ni "the most industrialized country in Africa", haijafikia 15,000. Sisi miaka minne tumejenga viwanda 30,000? Tanzania hii hii? Jumla na vya zamani ni vingapi?

P'se respect our intelligence. We may be timid, certainly, but not fkng idiots.
 
Ujinga mwingi sana. Elfu thelathini? Serious. Hata aliyesema ukimwambia akutajie hivyo viwanda hajui hata viko wapi na ni viwanda vya Nini. Ulaya kwenyewe hakuna nchi iliyojenga viwanda Elfu thelathini kwa miaka 4. There is no such a stupid record in Europe. Kwakuwa wameona mama ni kilaza basi jamaa wanatembea naye mulemule.
 
Kwani wewe neno kiwanda unaelewaje? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/c7wbRI9fkQc?feature=shared
 
Wewe kiwanda unaelewaje? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C_0XpmeIRUx/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Asante kwa ushauri ulionyooka,Mungu akubariki.
 
We are not idiots, and this guys lazima waelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…