mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Utapanda Bus kutoka mwanarumango kuifuata gesi buguruni !! Bus zipo nyingi !Je pia anaweka vituo vya kusambaza hiyo gesi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapanda Bus kutoka mwanarumango kuifuata gesi buguruni !! Bus zipo nyingi !Je pia anaweka vituo vya kusambaza hiyo gesi?
Wapinzani wameshakuwa walamba asali wote bwashee!Mngeruhusu upinzani kila jiwe lingefunuliwa, sasa unalalamika kwa kunong'ona wakt task yako hapo dawatini ni kufifisha upinzani.
Utakuwa na chanzo kingine cha nishati ya kupikia.Una familia kubwa kiasi gani!?..gesi ya 55k kujaza naktumia miezi mi2.5,familia watu 6
wangeanza kuwauzia kwanza kwa hiyo bei rahisi.Labda watawauzia bei chee hao wenzetu
Ova
Miezi 2.5?? Dar kila nyumba wangekua wanatumia gesi.Una familia kubwa kiasi gani!?..gesi ya 55k kujaza naktumia miezi mi2.5,familia watu 6
Huenda hajawahi hata kutumia hiyo gesi. Kwa familia ya watu 6, gesi hutoboi mwezi. Ukijitahidi sana wiki 3Utakuwa na chanzo kingine cha nishati ya kupikia.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Ungempa wewe Sasa mitungi ya kampuni ya mumeo akaigawe, maana sijajua tatizo nn hapo waziri kugawa bure product ya muwekezaji kwa wananchihivi kwa akili yako makamba amekurupuka tu aanze kugawa mitungi ya gesi out of love, bure bure tu? wenye akili wameshajua amegeuka kuwa marketing executive wa kampuni fulani ya gesi
Naktumia gesi tangu 2012,mtungi mdogo ukigharimu 110Miezi 2.5?? Dar kila nyumba wangekua wanatumia gesi.
Acha utani wewe. Huenda hujawahi kutumia gesi. Miezi miwili na nusu labda kwa bachelor na hapo asiwe anapika maharage
Sipiki maharageUtakuwa na chanzo kingine cha nishati ya kupikia.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
akili zako ni shida sana. if you can not comprehend an argument, it is wise to just leave it kuliko kutukana.Ungempa wewe Sasa mitungi ya kampuni ya mumeo akaigawe, maana sijajua tatizo nn hapo waziri kugawa bure product ya muwekezaji kwa wananchi
Sasa hapo tusi lipo wapi bibie?!akili zako ni shida sana. if you can not comprehend an argument, it is wise to just leave it kuliko kutukana.
Jifunze kushughulisha ubongo wako...
.....acha kudhalilisha wazazi wako maana tutahisi walikuleta vibaya, kumbe ni uzwazwa wako tu.
Mitungi bila majiko!? Kampeni imeanza? Mbn idadi ya walofaidi ni ndg!? Atagawa ngapi? WaTz tujipongezeni, viongozi wa aina hii, tunaambiwa watatuletea maendleo, wako Tz tu... duh!Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Kipara kaamua 2025 japo hatumpi
Mbona ameanza Kampeni mapema sna wakati Hafai?
Nimeendelea kuamini kuwa mtoto akipata zero kidato cha nne au kidato cha sita; kamwe hatakaa apate akili.Sio povu mkuu kuwa muelewa that is cheap politics na muda mwingine ni biashara,nani alikwambia mkoa wa Mara una wanawake 300 tu? Au nani alikwambia mkoa wa Mara mzima ni watu 300 tu ndio hawana mitungi ya gesi.
Waziri asiejua hata ukubwa wa tatizo LA wizara yake. Hamna mwenye chuki na waziri.