Waziri Januari Makamba agawa mitungi 300 ya gesi kwa kina mama wa CCM Mkoa wa Mara

Makamba yupo kwa ajili ya 'special mission' ya wakubwa 'flani' nayo ni gas
Badala ya kuwa busy na ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere angalia vitu anavyokimbizana navyo. Tuendako ni kugumu sana
Muwe mnafuatilia mambo ya nchi yenu siyo mpira tu...sera ya nchi ni kueneza gesi ili kuokoa misitu,unataka akashinde kwenye bwawa la umeme yeye muhandisi!?
 
Tunataka katiba mpya ipatikane KWANZA itatoa muongozo wa kuwakataa wahuni wanao kwamisha maendeleo!
Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA!
 
Waziri hasambazi umeme,rea iliasisiwa na mzee mkapa ikaendelezwa na waliomfuatia,makamba ni Waziri wa nishati,nishati si umeme tu,huko vijijini hawakupelekewa umeme ili wapikie,sera ya nchi ni kueneza gesi Kama maji ili kuokoa misitu
Mm naungana na serikali kila hatua inayochukua na nipo nayo bega kwa bega. Changamoto waliyonayo huko vijijini ni ngumu kumudu gesi, mjini tu hapa wengi wameshindwa.

Nadhani tuwamalize kwanza wa mjini kwa kuwa huku wengi wanajiweza kidogo, baada ya hapo twende na wa vijijini japo bado tatizo litakua vipato vyao kumudu hii nishati
 
Hongera sana Kalemani, alifanya kazi kubwa. Tunakatwa REA kila unaponunua umeme ili kuwasaidia watu wa vijijini, hiyo pesa inaenda wapi? Malizeni haraka hiyo asilimia iliyobaki, ni haki yao. Au acheni kukata pesa ya Rea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mjini ugumu unakuja mwanzo wa kununua mtungi,si kujaza,sababu gesi ni rahisi kuliko mkaa
 
Ugumu Wala sio kununua, ugumu ni kujaza pale inapoisha. Maana kununua ni mara moja tu, Ila kujaza ni kila inapoisha.

Gesi sio rahisi kulinganisha na mkaa. Mkaa gunia kwa mjini hapa ni 60000 Ila huu mkaa utakaa nao sana. Gesi ya kg 30 ambayo kujaza ni 55000 kwa mtu mwenye familia kubwa hutoboi wiki mbili. Acha kabisa kuhusu gesi, inakwenda balaa.
Gesi nzuri kwa mtu bachelor, hata mm nilipokua bachelor niliweza kutumia gesi siku zote na ilikuwa inakaa miezi hadi mitatu.
Wengi wenye familia ambao Wana kipato cha kawaida huwa wanatumia vyote kwa pamoja, gesi na mkaa. Usifikiri wanapenda
 
Hongera sana Kalemani, alifanya kazi kubwa. Tunakatwa REA kila unaponunua umeme ili kuwasaidia watu wa vijijini, hiyo pesa inaenda wapi? Malizeni haraka hiyo asilimia iliyobaki, ni haki yao. Au acheni kukata pesa ya Rea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa umeme kwa ajili ya kuleta mwangaza

Gesi kupikia

Ova
 
Sawa umeme kwa ajili ya kuleta mwangaza

Gesi kupikia

Ova
Gesi kupikia? Kwa hawa ambao hata milo mitatu tu hawajui wanaipataje? Kwa mujibu wa world bank nusu ya watanzania ni maskini.
Gesi mimi mwenyewe imenishinda pamoja ni muajiriwa
 
Ugumu Wala sio kununua, ugumu ni kujaza pale inapoisha. Maana kununua ni mara moja tu, Ila kujaza ni kila inapoisha.

Gesi sio rahisi kulinganisha na mkaa. Mkaa gunia kwa mjini hapa ni 60000 Ila huu mkaa utakaa nao sana. Gesi ya kg 30 ambayo kujaza ni 55000 kwa mtu mwenye familia kubwa hutoboi wiki mbili. Acha kabisa kuhusu gesi, inakwenda balaa.
Gesi nzuri kwa mtu bachelor, hata mm nilipokua bachelor niliweza kutumia gesi siku zote na ilikuwa inakaa miezi hadi mitatu.
Wengi wenye familia ambao Wana kipato cha kawaida huwa wanatumia vyote kwa pamoja, gesi na mkaa. Usifikiri wanapenda
Una familia kubwa kiasi gani!?..gesi ya 55k kujaza naktumia miezi mi2.5,familia watu 6
 
Muwe mnafuatilia mambo ya nchi yenu siyo mpira tu...sera ya nchi ni kueneza gesi ili kuokoa misitu,unataka akashinde kwenye bwawa la umeme yeye muhandisi!?
Angefocus na bwawa la nyerere kwanza ili tupate umeme wa kutosha na nafuu ili tuweze kupikia pia,kwani kupikia ni lazima gas tu au anapigia chapuo hiyo kampuni ya gas
 
Umeme tunaozalisha ni mwingi kuliko tunaotumia,hata bwawa likikamilika umeme hauwi rahisi hivyo
 
Gesi kupikia? Kwa hawa ambao hata milo mitatu tu hawajui wanaipataje? Kwa mujibu wa world bank nusu ya watanzania ni maskini.
Gesi mimi mwenyewe imenishinda pamoja ni muajiriwa
Labda watawauzia bei chee hao wenzetu

Ova
 
Waziri hasambazi umeme,rea iliasisiwa na mzee mkapa ikaendelezwa na waliomfuatia,makamba ni Waziri wa nishati,nishati si umeme tu,huko vijijini hawakupelekewa umeme ili wapikie,sera ya nchi ni kueneza gesi Kama maji ili kuokoa misitu
Sawa nape, tumekusikia.
 
January Gas Distribution Company Limited!
Reliable and Sole Distributors of Cooking cylinders and gas in rural areas in Tanzania.
The Marketing Executive is also a Minister of energy at par.
 
Makamba yupo kwa ajili ya 'special mission' ya wakubwa 'flani' nayo ni gas
Badala ya kuwa busy na ujenzi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere angalia vitu anavyokimbizana navyo. Tuendako ni kugumu sana
Taifa gas ?!! Au ??!!
 
January Gas Distribution Company Limited!
Reliable and Sole Distributors of Cooking cylinders and gas in rural areas in Tanzania.
The Marketing Executive is also a Minister of energy at par.
We bwana eee !! Hayo ni madudu gani tena !! ??
 
Back
Top Bottom