OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
kampeni za urais zimeanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
January anafaa kwa uraisi 2030 baada ya SamiaWaziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Huko CCM hamna ubongo?January anafaa kwa uraisi 2030 baada ya Samia
Mtu hana jinsia atakuwaje na akili?Huwa najuaga una akili
Sio povu mkuu kuwa muelewa that is cheap politics na muda mwingine ni biashara,nani alikwambia mkoa wa Mara una wanawake 300 tu? Au nani alikwambia mkoa wa Mara mzima ni watu 300 tu ndio hawana mitungi ya gesi.Mbona unatokwa povu bila sababu? Wewe ulitaka agawe uroda ili ulidhike? Acha chuki za kishetani. Utakufa siku si zako ndugu.
Kila kitu kina mwanzo wake. Waziri kaanza na wanawake 300. Apongezwe badala ya kupondwa.Sio povu mkuu kuwa muelewa that is cheap politics na muda mwingine ni biashara,nani alikwambia mkoa wa Mara una wanawake 300 tu? Au nani alikwambia mkoa wa Mara mzima ni watu 300 tu ndio hawana mitungi ya gesi.
Waziri asiejua hata ukubwa wa tatizo LA wizara yake. Hamna mwenye chuki na waziri.
Unadhani kawasaidia au kawaongezea mzigo. Kusaidia akiwa waziri mwenye dhamana ni kushughulikia bei ya gesi ishuke ili watanzania walio wengi wapate huduma. Anachokifanya makamba ni kutafuta cheap popularity....nothing elseKila kitu kina mwanzo wake. Waziri kaanza na wanawake 300. Apongezwe badala ya kupondwa.
akina mama wa ccm!! dah kwahiyo katumia fomula ileile ya kwenye vilabu vya mbege ''mupe huyu mruke yuleWaziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Suala la kupunguza bei ya gesi yako nje ya wigo wa mamlaka ya waziri Makamba. No suala mtambuka.Kusaidia akiwa waziri mwenye dhamana ni kushughulikia bei ya gesi ishuke ili watanzania walio wengi wapate huduma
Wewe Mwenye akili kubwa inayowaza mambo makubwa makubwa pale mtaan kwako umefanya initiative gan ili kuwasaidia Akina mama tufanye comparison na kuja kujifunza?Huyu ni muuza sura, akili yake iliosimama kwenye mambo madogo madogo mepesi.
Nisingeshangaa kama asingegawa Fagio za Ndani Kwa wamama wa CCM.
Hata Ivo, kumlea na mnavyomdekeza kumpa kiburi
Unagawa Mtungi wa Gas, eeeh. Vipi hiyo Gas kuijaza gharama yake ikoje Sasa ??
Nikiwauliza mtasema "Vita ya Ukraine".
Huu ni ujuha na uzumbukuku.
No wonder kilicho ndani ya uwezo wake ni huo upuuzi...ndio maana tunawalalamikia viongozi wetu wa kisiasa,wanachofikiria nje ya box ni kutuibia.Suala la kupunguza bei ya gesi yako nje ya wigo wa mamlaka ya waziri Makamba. No suala mtambuka.
UPUUZI NA UJINGA MTUPU UNAOTOKA KWA MTU MJINGA.WATANZANIA WENGI TUNAJUA HUYO KIJANA AMEAIBISHA VIJANA WENGI KWA KUSHINDWA KAZI IN SHORT AMETIA AIBU KTK WIZARA YA NISHATI.SIFURI TU.Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022
Akili hamna humoSio povu mkuu kuwa muelewa that is cheap politics na muda mwingine ni biashara,nani alikwambia mkoa wa Mara una wanawake 300 tu? Au nani alikwambia mkoa wa Mara mzima ni watu 300 tu ndio hawana mitungi ya gesi.
Waziri asiejua hata ukubwa wa tatizo LA wizara yake. Hamna mwenye chuki na waziri.
Hapo ni sawa na kumpa mtu samaki badala ya nyavu. Aweke sera nzuri bei ipungue, watu watatafuta wenyeweKila kitu kina mwanzo wake. Waziri kaanza na wanawake 300. Apongezwe badala ya kupondwa.
Exactly, ila tukisema wanajihami kuwa tuna chuki na roho za kimaskini. Hovyo kabisaHapo ni sawa na kumpa mtu samaki badala ya nyavu. Aweke sera nzuri bei ipungue, watu watatafuta wenyewe
Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliwaahidi viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania ( UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara kuwapa mtaji wa mitungi ya gesi 300 kwa ajili ya kusambaza kwa wananchi kwa gharama nafuu ili waondokane na nishati chafu ya kupikia.
CHANZO: GAZETI LA MWANCHI JULAI 12,2022