balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kweli alifutiwa akaresit Forest MorogoroReally? [emoji848][emoji848][emoji848]
Makamba mwenye alikiri kwamba "UMEME ZAMANI ULIKUWA HAUKATIKI MARA KWA MARA SABABU KULIKUWA HAMNA SCHEDULE MAINTENANCE........".
Sasa Magufuli alidanganya nini wakati mwenyewe kakiri kwa kinywa chake, zamani umeme ulikuwa haukatiki.......
Kwani huyo waziri wako hakuwahi kutoa hii kauli?Wewe haukuwahi kushuhudia umeme ukikatika kwenye awamu ya 5?
Au ilikuwa kama ulaya? Haukuwa ukikatika?
Kama Makamba alishuhudia inatosha..Wewe haukuwahi kushuhudia umeme ukikatika kwenye awamu ya 5?
Au ilikuwa kama ulaya? Haukuwa ukikatika?
Kwa hiyo tusibiri miaka minne umeme ndipo utaacha kukatika! Hatari na nusu hii!Ujinga mtupu! huyu dogo ni mpuuzi, abishe na master’s yake ya conflict management
Kwani huyo waziri wako hakuwahi kutoa hii kauli?
"UMEME ZAMANI ULIKUWA HAUKATIKI MARA KWA MARA SABABU KULIKUWA HAMNA SCHEDULE MAINTENANCE........".
Kama Makamba alishuhudia inatosha..
shuhuda mmoja tu anatosha.
Sasa aliyesema Makamba na hata mimi ninapoishi niliona au ww unambishia Makamba?.Uzalishaji wa umeme Tanzania haujawahi kutosheleza mahitaji ya umeme hapa nchini tokea tumepata uhuru.
Hakuna kipindi au awamu umeme ulikuwa haukatiki..
Kazi ya kuosha butusi siku hizi imekuwa ngumu matope kila mahali kwa sababu ya mvua za mara kwa mara!!Kumekucha...
Jibu la kwanza ndio jibu.Kwa hiyo kwa sasa unamuamini Makamba?
Wewe unataka ni kubaliane na kila kitu cha makamba au nipingane nae kwa kila kitu!?Kwa hiyo kwa sasa unamuamini Makamba?
Sasa aliyesema Makamba na hata mimi ninapoishi niliona au ww unambishia Makamba?.
Watu wanataka umeme affordable and wa uhakika sio kupewa miaka kadhaa hayo mambo hatuyataki.Makamba watu wanataka umeme, hayo mengine ni upuuzi tu
Wewe unataka ni kubaliane na kila kitu cha makamba au nipingane nae kwa kila kitu!?
Hata saa mbovu kuna wakati inasema ukweli.
Hopeless.
Rubbish kabisa hiyo gas mnayo sasa? Kama huna uhakika na ya ayozungumzwa kaanga karanga ule. Watu wanazingumza issue zamsingi we unaleta ushabiki.Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.
JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.
Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.
Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara
Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.
Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.
2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Sasa whats is your concern!?Na mimi pia siwezi kukubaliana nae kwa kila kitu, sababu nilishuhudia umeme ukikatika awamu ya 5 sawa na awamu zote.
Hujanibu.Kwa hiyo unamkubali Makamba na unamuamini?
Wakati mwingine utumie akili kidogo mwanakwerekwe.Na mimi pia siwezi kukubaliana nae kwa kila kitu, sababu nilishuhudia umeme ukikatika awamu ya 5 sawa na awamu zote.