Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Waziri January Makamba anamaanisha Magufuli alikuwa akiwakatia umeme watumiaji wakubwa na kuwatisha wakae kimya?

Makamba mwenye alikiri kwamba "UMEME ZAMANI ULIKUWA HAUKATIKI MARA KWA MARA SABABU KULIKUWA HAMNA SCHEDULE MAINTENANCE........".

Sasa Magufuli alidanganya nini wakati mwenyewe kakiri kwa kinywa chake, zamani umeme ulikuwa haukatiki.......

Wewe haukuwahi kushuhudia umeme ukikatika kwenye awamu ya 5?
Au ilikuwa kama ulaya? Haukuwa ukikatika?
 
Wewe haukuwahi kushuhudia umeme ukikatika kwenye awamu ya 5?
Au ilikuwa kama ulaya? Haukuwa ukikatika?
Kwani huyo waziri wako hakuwahi kutoa hii kauli?

"UMEME ZAMANI ULIKUWA HAUKATIKI MARA KWA MARA SABABU KULIKUWA HAMNA SCHEDULE MAINTENANCE........".
 
Kwani huyo waziri wako hakuwahi kutoa hii kauli?

"UMEME ZAMANI ULIKUWA HAUKATIKI MARA KWA MARA SABABU KULIKUWA HAMNA SCHEDULE MAINTENANCE........".

Uzalishaji wa umeme Tanzania haujawahi kutosheleza mahitaji ya umeme hapa nchini tokea tumepata uhuru.
Hakuna kipindi au awamu umeme ulikuwa haukatiki..
 
Huyu dogo ni mpuuzi na anaonekana ni kweli yeye ndo alikua kigogo,, unaulizwa kuhusu kukatika umeme badala ujibu fact unaleta porojo za kihayawani!! Hii nchi ndiomaana ni maskini mpaka leo et huyu wazir na mpaka sasa yupo ofsi n pumbaf
 
Uzalishaji wa umeme Tanzania haujawahi kutosheleza mahitaji ya umeme hapa nchini tokea tumepata uhuru.
Hakuna kipindi au awamu umeme ulikuwa haukatiki..
Sasa aliyesema Makamba na hata mimi ninapoishi niliona au ww unambishia Makamba?.
 
Makamba watu wanataka umeme, hayo mengine ni upuuzi tu
Watu wanataka umeme affordable and wa uhakika sio kupewa miaka kadhaa hayo mambo hatuyataki.

Tunataka Tz ambayo swala uhaba,kukatika kwa umeme ni historia kama vita vya maji maji 1905 huko havijawahi rudia
 
Ila Msukuma ni tatizo sana na anajiona anajua sana kujenga hoja kiazi huyu. Ndio mbunge star wa bunge la Tanzania hopeless kabisa huyu.
 
Watanzania wengi hawujui chochote kuhusu umeme na mikataba zaidi ya kwamba ni wahanga wa uwongo wa Magufuli. Na kwa ujinga wao ndiyo walikuwa mtaji wa Magufuli kwa miaka 5.

JNHPP was wastage of money. Hilo dude litabakia white elephant. Litajengwa ila halitakuja kuzalisha hizo megawati 2,100 za umeme.

Kwa maamuzi ya Dikteta mmoja mkemia asiyeamini sayansi, tumeharibu baioanuai ya selous na kukata miti yenye saizi ya ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam. Hili litatugharimu milele.

Ni wakati wa kufanya maamuzi magumu kwa kusitisha kuendelea kujenga na kuendelea na umeme wa gesi. Kwa sasa Kinyerezi 1 & 2 zinachangia 60% ya umeme tunaotumia Tanzania. Na zinatumia hardly 10% ya gesi ya Mtwara

Miradi yote ya maji yaani Kidatu, Mtera, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale, Pangani nk inachangia 40%. Numbers don't lie. Umeme wa kutegemea mvua siyo reliable na vile vile una athari kwa mazingira.

Kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 tungepiga hatua kubwa sana kiuchumi kwa kuwa;
1. Kinyerezi 3 & 4 zingekamilika na kuwa chanzo kikuu cha nishati.

2. Tusingevuruga baioanuai ya Selous kwa kukata miti ili tujenge bwawa la umeme kwa ajili ya kupata Megawati 2,100 tu ambazo zinapatikana kwa kutumia 25% tu ya gesi ya Mtwara.
Rubbish kabisa hiyo gas mnayo sasa? Kama huna uhakika na ya ayozungumzwa kaanga karanga ule. Watu wanazingumza issue zamsingi we unaleta ushabiki.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom