Waziri January Makamba, siku mbili za miujiza ulizotuahidi tunakukumbusha zimekwisha

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa.

Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani ya wiki hii...

Waziri watanzania hawajasahau maana tatizo la ukame na umeme bado lipo hivyo tunaomba utupatie huo muujiza utakao kuwa suluhu kama ulivyo ahidi...

Mh waziri kama itakupendeza kwa niaba ya watanzania naomba nikuongezee siku mbili zingine ili ikiwezekana kama sio jumatatu au jumanne utupatie huo muujiza utakao kuwa suluhu la haya matatizo ya ukame na umeme.
 
Na akili zako zooote unamwamini huyu January aliyekuwa anachora tunguruwe? Come on Leak wake up from your deep sleep
 
Nilicheka kwa nguvu vibaya niliposikia Januari akitangaza utapeli wake, eti ndani ya siku atatoa suluhisho la umeme. Januari aache utapeli wa kitoto.
 
Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa.

Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani ya wiki hii...

Waziri watanzania hawajasahau maana tatizo la ukame na umeme bado lipo hivyo tunaomba utupatie huo muujiza utakao kuwa suluhu kama ulivyo ahidi...

Mh waziri kama itakupendeza kwa niaba ya watanzania naomba nikuongezee siku mbili zingine ili ikiwezekana kama sio jumatatu au jumanne utupatie huo muujiza utakao kuwa suluhu la haya matatizo ya ukame na umeme.
Huyo zezeta makamba hawezi kuwa na majibu! Kawekwa pale kukamirisha mambo ya JK na Jumong hana jipya!
 
Nilicheka kwa nguvu vibaya niliposikia Januari akitangaza utapeli wake, eti ndani ya siku atatoa suluhisho la umeme. Januari aache utapeli wa kitoto.

Jamaa yangu Tindo, umesahau ule utapeli wa mvua kutoka Thailand na ulinzi wa kura zetu wazee wa ulipo tupo....tukampigia deki barabara...
 
Back
Top Bottom