Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Haa AnaanzaWaziri anaonekana fundi kweli kweli SI kwa mkao huo.
#Senkyu Mistachea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haa AnaanzaWaziri anaonekana fundi kweli kweli SI kwa mkao huo.
#Senkyu Mistachea.
Kama Waziri anaweza kufanya mambo ya aibu hivi mchana! Je gizani anaweza kufanya nini aendelee kuwa Waziri?!Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Huyu namba 1Wazungu wanawaita waafrika manyani Kwa sababu ya watu wachache wajinga namna hii
Kajiandaa kabisa na gauni la vumbiWaziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Dokta umeadimika.Kitu Kinachonitia Hofu sana Ni kwamba Huyo Ndiyo Mshauri wa Rais kwa Upande wa Afya..
Ni vigumu sana Kushauri kitu kwa Kutilia Mkazo kama Atatishiwa au Kukataliwa Mawazo yake..
Napata Hofu sana..
Eeh Mungu wangu Chama changu Kinaenda wapi?😭😭
Najua Kuwa Siwezi kuhama Kwenda Upinzani, Chadema au ACT ila Naumia Nikiyaona haya..
Kwa Uchungu kabisa..
CC:- Tlaatlaah