Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kugalagala hivyo kwa watu wa Ruvuma (wangoni); wao wanasema KUGALAUKA, ni ishara ya kuonesha furaha isiyo kifani au shukrani ya kiwango cha juu sana kwa jambo linalotendeka kwa mhusika/ wahusika.
Ni sehemu ya mila na desturi za wenyeji wa huko; siyo uchawi wala uchawa; tembea uone.
Kila kabila lina mila na desturi zake.
Kwa mfano; kwa jamii ya Wachagga mtu anapoomba msamaha kwa mwenzake, huwa anakwenda kuomba msamaha akiwa jani la mmea uitwao SALE kwa anayemwomba msamaha.
Akifika kwa anayemwomba msamaha, huweka mmea huo mbele yake, huku mkosaji akiomba msamaha.
Mara nyingi msamaha hutolewa; japo wengine hupuuza mila hiyo na ubaya ubwela huendelea!!
 
Yaan huyu alikuwa ni wakutembezea mboko kwa ujinga huu
 
Ili haya ya kugala gala yaishe ni mpaka ifikie hatua hivi vitu raia tunavipata constantly.

Yaani, mbunge haji kuomba kura kwa hoja za maji, barabara, bima ya afya au umeme. Ikifika kwamba kila raia hivi vitu siyo vigeni kwake hapo mtu hana cha kumfanya agale gale.

So komaeni pigeni kazi
 
Kinachosikitisha zaidi, ni waziri wa afya wizara nyeti kabisa
 
IQ ndogo sana, kwa vile rank yao ni moja ndogo maana wanapeana vyeo.
 

Attachments

  • Screenshot_20240924-190800.png
    122.2 KB · Views: 6
Bongo kuna upuuzi mwingi
 
Huyu chawa lazima fanya hivi ,
 
Inasikitisha
Ni kama vile anajitambua Hana uwezo wa kazi amepewa, inabidi afanye hayo..
 
Toka lini Mwalimu akawa na akili? Huyo alikuwa mwalimu na shule yake ya kuunga unga.
 
Ana miguu mibaya wenye foot fetish apa hawapati
Mkuu Unawaza Foot Fetishism.. Kwenye Miguu ya Waziri πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
Dah Watz mnaniacha Hoi aisee 🀣🀣

Yaani Unapata Muda mpaka Kutamani waziri 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ila mbona hii si mara ya kwanza kwake..ni heshima kwa Wangoni.
 
Reactions: FWC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…