Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama mimi naona aibu hata kuangalia picha yake akiwa anagalagala, vipi watoto wake?
 

Kama Waziri anafanya hivyo sijui Lukas atafanya je siku akishikwa mkono na Rais. Huyu Mwanamke Inawezekana hajawahi kuwashukuru wazazi au mme wake kwa kiasi hicho ila ana galagala kwa mwanamke mwenzake. Aibu.
 
Hizo ni mila za Kingoni wanawake hugalagala kuonyesha kushukuru kama ambavyo wanawake wa Kanda ya Ziwa na Mbeya hupiga magoti. Kama hujui uliza!
 
Reactions: FWC
Kama Waziri anafanya hivyo sijui Lukas atafanya je siku akishikwa mkono na Rais. Huyu Mwanamke Inawezekana hajawahi kuwashukuru wazazi au mme wake kwa kiasi hicho ila ana galagala kwa mwanamke mwenzake. Aibu.
Hizo ni mila za Kingoni kama hujui uliza kabla ya kulaumu!
 
Ni vigumu sana nchi hii kuendelea.
Hiki kitendo kimeshusha thamani na hadhi ya cheo cha uwaziri. Hii ni aibu kubwa sana kwa nchi.
 
Yaani , watu wa Peramiho ni mazoba kama yeye au alitaka kuonyesha nini.
 
Alichofanya Mhe. Mhagama ni kitendo ambacho kinahesabila Ni heshima kubwa kwenye Jamii ya Wangoni huko Peramiho na Ruvuma.
Kabisa, ndio mila na tamaduni inayoonyesha heshima ya hali ya juu
 
Halali yake huyo nikutenguliwatu. Waziri gani hajielewi. Anakata mauno chini mbele za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…