Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Teuzi zinaomba kwa tabu sana, Sasa hapo alipo lala chini inafaa alaliwe kwa juu.
 
Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
 

Attachments

  • Screenshot_20240925-070054.jpg
    393.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240925-070039.jpg
    360.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240925-070023.jpg
    369 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240925-070010.jpg
    373.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240925-065957.jpg
    378.1 KB · Views: 2
Jenister amefanya hayo akiwa kijijini kwao

Na kwao alichofanya kiko kimila zaidi…. Hata ukienda kwa baadhi ya wenyeji wa lindi na mtwara huwa wanafanya the same

Ifike mahali mengine tujifunze tu
 
Uongo(acting) na ulozi ni watu wa kuchomwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…