Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jenister amefanya hayo akiwa kijijini kwaoHili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
Wenye D mbili wameshaelewaHamna uhusiano unavyovihusianisha
Well said!Fikiria huyo ni waziri anafanya huo uchawa, je chawa kama ChoiceVariable na Lukas mwashamba unadhani wanaweza kufanyaje? Lakini bahati mbaya kwa taifa chawa hao ndio wanaongoza wizara na idara mbalimbali za serikali.
Uongo(acting) na ulozi ni watu wa kuchomwa.Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo lake, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipotembelea na kuzungumza ya wananchi wa jimbo hilo, leo Jumanne Septemba 24, 2024.
My jicho ......
Tuseme kwamba huu ni uchawa au ni udhaifu kwa kiongozi kuonyesha kitu kama hichi kwani alishindwa kushukuru kawaida hadi kufanya alichokifanya binafsi natafsiri ni ushamba wa maarifa. Ifike mahali hawa viongozi wafanye mambo yao kwa uwelidi na sio kuongozwa na mihemuko fulani.
Soma Pia: Kilombero: Mbunge apiga Magoti Kumshukuru Rais Samia kwa Barabara
Kazi yangu ya nini tena!Naomba kumfahamu MUME WAKE anafanya kazi gani?
Sure mkuu.Hamna uhusiano unavyovihusianisha
na alishajiunga gridi. anawasambazia vijana. anapenda vijana wadogo. ni katili na mtoa kafara mzuri tu.Huyo ni Mshirikina wa Kiwango Cha SGR ,usikute alishaambiwa na waganga wake ajigaragaze.
Hivi kwanini walimuondoa Ummy Mwalimu!?Sijui huko kwenye Wizara ya Afya anashauri nini. Ndiyo maana watu wanahoja kutowekwa huko Waziri mwenye taaluma husika. Hawa wa kugaragara chini wawe kwenye SANAA na UTAMADUNI.