Usidharau Mila za watu. Kila watu na mila zaoHili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
na alishajiunga gridi. anawasambazia vijana. anapenda vijana wadogo. ni katili na mtoa kafara mzuri tu.
Pamoja na kuwa ni mila lakini tuwe na reasonable thinking. Mmasai anakuelewaje hapo?Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
HahahahahKujigalagaza Ndio kazi ngumu pekee alowahi kufanya. Ila na imani hajawahi kufanya hivyo kuwashukuru wazazi wake kwa kumzaa na kumlea.
Upo yaani nimezoom kitambi naona kimemfanya awe ka tufe.Hamna uhusiano unavyovihusianisha
Sasa vinahusiana nini na Janabi?hivi huwa hamna vitu vya maana vya kuandika mikundu yenu??Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
Kama wa mama Yako aliekuwa anaharishaSasa vinahusiana nini na Janabi?hivi huwa hamna vitu vya maana vya kuandika mikundu yenu??
Kwahiyo hapo ndo alikuwa anamuonyesha shukrani chura kiziwi
Pia hata mume wake hajawahi kumfanyia hivyo kwa kumsitili na kumzalisha watotoKujigalagaza Ndio kazi ngumu pekee alowahi kufanya. Ila na imani hajawahi kufanya hivyo kuwashukuru wazazi wake kwa kumzaa na kumlea.
Hujielewi!Sasa Janab kaingiaje hapo? Acheni chuki za kijinga, unashindwa kutofautisha mwanasiasa na mtendaji?
Timu January na Nape. 2025 ataludi kwenye nafasi yake.Hivi kwanini walimuondoa Ummy Mwalimu!?
Mbona alikua ana perform vema tu!?