Usidharau Mila za watu. Kila watu na mila zaoHili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎