Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
Usidharau Mila za watu. Kila watu na mila zao
 
Alivofanya hivo hajakosea,ni mila za watu wa Mbinga hadi Nyasa,Namtumbo hadi Tunduru.
Wangoni,Wamatengo,Wandendeule nā Wayao ni kawaida yao pale wanapotoa shukurani kwa mtu anaye wathamini
 
Mane huyo,
Sasa kama unatakiwa ujigalagaze ili kesho uendelee kuwa mbunge, upige 250M kila baada ya awamu,salary zaidi ya 13M+kwa mwezi(ubunge+uwaziri), why not
 
Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
Pamoja na kuwa ni mila lakini tuwe na reasonable thinking. Mmasai anakuelewaje hapo?

Waziri mjinga sana huyo kwa kujipendekeza hivyo
 
Yani hii ngoma hata uheadmaster wa shule ya kata hafai hope anadunda kwa njia za giza tu hapo alipo!
 
Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
Sasa vinahusiana nini na Janabi?hivi huwa hamna vitu vya maana vya kuandika mikundu yenu??
 
Kwahiyo hapo ndo alikuwa anamuonyesha shukrani chura kiziwi

Si ndio maana nikasema haya mambo hautakiwi uyatilie maanani sana Kwa mustakabali wa afya ya akili, nafsi na mwili wako mjukuu wangu. Relax.

Uwe na asubuhi njema.
 
Back
Top Bottom