Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Pre GE2025 Waziri Jenista Mhagama agalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia kwa miradi jimbo kwake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Alafu ndiye aliyewapangia watumishi kikokotoo. Nchi yote hii na wasomi wote eti Jenister ndo waziri wa Afya wizara inayousiana moja kwa moja na maisha ya watu. Ata Mungu atakuwa anatushangaa.
 
Hili tukio la kushangaza lilitokea hapo jana Rais Samia Suluhu alipotembelea Ruvuma ghafla Mbunge wa Peramiho ambae ni Waziri Wa Afya Bi. Jenista Muhagama kuchukua maamuzi ya kugalagala chini ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Kwa maendeleo aliyoleta jimboni kwake, Kwa mliofika Peramiho na Ruvuma Kwa ujumla mnaijua ilivyo🙌
Habari Katika picha akibubujikwa na machozi huku akigalagala😎
Boss wake ni Rais maana ana report moja Kwa moja Kwa mkuu wa nchi
 
Tlaatlaah na wewe akitokea sa100 lazima ugaragae au siyo

Ova
utamaduni wa kugalagala ni wa Kingoni huko Songea, ni fahari na utambulisho wa utamaduni wao kwa wageni wa kitaifa na kimataifa. Hawezi kugalagala akiwa kwenu kondoa,kule kwenu utamaduni wenu ni wa Kuta viono mkiwa mmeshika mabega...

kule kwetu huwa nikitoka katika shughuli za kisiasa nje ya Jimbo au nje ya nchi, mapokezi ya siku nikirudi huwa wananipaka unga na majivu usoni, wananivisha ngozi za wanyama rungu, mkuki, shanga nyeupe n.k, mtu asiejua utamaduni wetu anaweza kudhani nimekua mganga wa kienyeji, kama ambavyo huwa wanafikiria hamisi kigangwala 🐒
 
Serikali ya samaki!
 
Jenister amefanya hayo akiwa kijijini kwao

Na kwao alichofanya kiko kimila zaidi…. Hata ukienda kwa baadhi ya wenyeji wa lindi na mtwara huwa wanafanya the same

Ifike mahali mengine tujifunze tu
Wenyewe kule kwetu (kunyumba) tunaita KUGALAUKA. Ni akinamama hufanya hivyo kuonyesha shukrani ya hali ya juu kwenye jambo fulani anayegalaukiwa amelitenda...!! Kwahiyo, huko kwetu ungonini, umatengoni na umandani, ni jambo la kawaida kwenye kuonyesha shukrani.
 
Jenister amefanya hayo akiwa kijijini kwao

Na kwao alichofanya kiko kimila zaidi…. Hata ukienda kwa baadhi ya wenyeji wa lindi na mtwara huwa wanafanya the same

Ifike mahali mengine tujifunze tu
ujifunze ujinga
 
Serikali ya samaki!
Nadhani viongozi waandamizi serikali wataendelea, watagalagala sana panapostahili, watavaa sana kaniki, ngozi za wanyama n.k kulingana na utamaduni, mila na desturi za maeneo yao kuonyesha shukrani kwa Rais kwa kazi za maendeleo kwao, lakini pia kuenzi na kutambulisha utamaduni wao nje ya maeneo yao 🐒
 
20240925_083425.jpg
 
kule kwetu huwa nikitoka katika shughuli za kisiasa nje ya Jimbo au nje ya nchi, mapokezi ya siku nikirudi huwa wananipaka unga na majivu usoni, wananivisha ngozi za wanyama rungu, mkuki, shanga nyeupe n.k, mtu asiejua utamaduni wetu anaweza kudhani nimekua mganga wa kienyeji, kama ambavyo huwa wanafikiria hamisi kigangwala
Ahaaa sasa nimekupata.
Kumbe Mganga ( Kalu Man Zilla ).
Bila Shaka roho mbaya umeitoa huko.
 
Hapo anafanya ushirikina pekee wala hana lolote

Ni Uhuni kabisa. Watu wanadai ni Utamaduni .... Yaaani awamu ya kwanza Nyerere, miaka 23 hatukona hii kitu. Akaja Mwinyi awamu ya pili miaka 10 hatukuona Wangoni wakifanya haya. Akafuata Mkapa awamu ya tatu miaka 10 hakuna hii kitu. Kikwete awamu ya 4 miaka 10 hatukuuona huu utamaduni. Yaani hata kwa Mtemi Magufuli awamu ya 5 hii kitu haikutokea halafu kuna mtu anataka tuamini kuwa ni utamaduni wa Kingoni. Seriuously. Au wanafanyiwa Wanawake tu...!!?
 
Back
Top Bottom