chilumendo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2013 Posts 3,079 Reaction score 3,550 May 31, 2023 #81 mozeh said: Mmh kwamba bangi ni depressant drug kwamba inakufanya unanyongea na kukosa nguvu?really?? Click to expand... Bangi ambayo huwa unavuta wewe huwa inakuongezea nguvu?
mozeh said: Mmh kwamba bangi ni depressant drug kwamba inakufanya unanyongea na kukosa nguvu?really?? Click to expand... Bangi ambayo huwa unavuta wewe huwa inakuongezea nguvu?
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 17,776 Reaction score 42,402 May 31, 2023 #82 Dooh kama hadi kwenye biscuits na juice basi tushatumia mibangi bila kujua jamani😔