Waziri Jenister Mhagama: Tumebaini Uwepo wa Cake, Juisi na Biskuti Zenye Bangi

Kuna soda kampuni fulani nilizoea kunywa ilikuwa ikifika muda ninaokunywaga nguvu mwilini zinaisha/kama sijala kwa siku mbili
Baada ya hali hiyo niliamua kupunguza mpaka sasa hali hiyo haipo.
Nadhani hata kwenye soda hasa zenye gesi hayo madawa yapo. Hii dunia ni ngumu sana
 
sasa kama kwenye mihogo utawekaje mihogo ya kukaanga
Watakuwa wanaweka baada ya kukaanga bila shaka. Mungu atusaidie.

Hapa mtaani kwetu kuna mama mmoja mkaanga mihogo anaishi karibu na shule. Kila siku wanafuzni huja kununua mihogo kwake. Wakishaonja mihogo hawataki kurudi shule mpaka walimu waje kuwafurusha. Huyu naye inabidi mhogo yake ichunguzwe isije ijawa kuna kitu anaitia.
 
Kuna soda kampuni fulani nilizoea kunywa ilikuwa ikifika muda ninaokunywaga nguvu mwilini zinaisha/kama sijala kwa siku mbili
Baada ya hali hiyo niliamua kupunguza mpaka sasa hali hiyo haipo.
Nadhani hata kwenye soda hasa zenye gesi hayo madawa yapo. Hii dunia ni ngumu sana
Mkuu, kwa maslahi mapana ya umma itakuwa vizuri ukaiweka wazi hiyo kampuni na hicho kinywaji ili kuokoa wengi. Tunamshukuru Mungu serikali imeshtukia vinywaji vya energy drinks na kuvipiga marufuku baada ya uchunguzi wa TFMDA.

Wakati umefika serikali iweke mkazo kupima kiasi cha kilevi au bangi kilichomo kwenye vyakula vya viwandani ili kuliokoa taifa kutumbukia kwenye ulevi na uraibu.
 
Kuna soda kampuni fulani nilizoea kunywa ilikuwa ikifika muda ninaokunywaga nguvu mwilini zinaisha/kama sijala kwa siku mbili
Baada ya hali hiyo niliamua kupunguza mpaka sasa hali hiyo haipo.
Nadhani hata kwenye soda hasa zenye gesi hayo madawa yapo. Hii dunia ni ngumu sana
Hasa hizi soda na juice ukizizoea ni hatari sana mkuu. Hizi ndizo wanawekamo cocaine kabisa. Yaani zina uraibu sijawahi kuona. Namshukuru Mungu hata mimi nilitumbukia kwenye uraibu huo nikaje kuokoka nikakimbia nduki.
 
Watakuwa wanaweka baada ya kukaanga bila shaka. Mungu atusaidie.

Hapa mtaani kwetu kuna mama mmoja mkaanga mihogo anaishi karibu na shule. Kila siku wanafuzni huja kununua mihogo kwake. Wakishaonja mihogo hawataki kurudi shule mpaka walimu waje kuwafurusha. Huyu naye inabidi mhogo yake ichunguzwe isije ijawa kuna kitu anaitia.
Acha wivu wa kipunbavu wewe, kisa mama wa watu ameuza unaanza kuleta zengwe, haya kachukue sample ya hiyo mihogo nguruwe wewe 😡😡
 
Wewe mwachie mwanao aendelee kula mihogo usitake kuwalazimisha watoto wa watu wengine kula bangi.....kula wewe na familia yako tu, isiwe shida.
 
Tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania hawahoji, wala kufuatilia habari.
Wao wakipewa wanachukua hivyo hivyo na kulisha Watu.
Mkuu tahadhari ni muhimu sana. Hawo waandishi wa habari unaowabeza ndio walioibua suala la ushoga mashuleni. Vinginevyo taifa lingeendelea kuangamia pasipo kufahamu chanzo cha ushoga nchini.
 
Back
Top Bottom