Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

Mifumo mizuri ni kuwaondoa watumishi wote kazini waliohudika kusababisha migogoro ya ardhi Kwa RUSHWA,

Kulitimiza hili, anahitaji support ya mawaziri wenzie utumishi na Rais,

Lakini Hadi hapo, ni sawa kufanya ziara, lakini pia ni muhimu kuweka viongozi waadilifu watakaozuia dhuluma na kumsaidia kirahisi zaidi.

Ubarikiwe.
 
Nimekuuliza chiembe,

Ikiwa wewe ni muumini wa mifumo Bora,

Kwanini hutaki kusikia habari ya Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya kabla ya Uchaguzi wowote?

Nijibu basi!!
Kwa sasa muda hautoshi kutengeneza katiba mpya, uchaguzi uko mwaka huu na mwakani.

Halafu katiba haiwezi kuwa na kila kitu, Benki ya Dunia walileta mradi wa hati za kidigitali, mbona hatumsikii akiziongelea? Hizi ndio mzizi wa fitna kwa hao maafisa ardhi wanaocheza na mafaili.

Wizara ya ardhi mwaka jana ilipewa bilioni 350 wajenge ofisi za ardhi kila mkoa, mbona hajazindua hata ofisi moja?
 
Hata yy ni mwanasheria
 
Uchaguzi una umuhimu Gani ikiwa Katiba ni mbovu?
 
Kusaini huku Mtu akiwa kaburini tena mbona maajabu haya lo!
Tarehe za mauziano ndizo zinaarifu hivyo,

Njia ya mwongo ni fupi, tajiri alipoforge mkataba, alisahau lini muuzaji wa mchongo alifariki!!

Na Cha kushangaza, alishinda mahakamani na kuwatimua family ya marehemu akaingia kuishi Yeye!!
 
Mahakamani zinafanywa analysis nyingi kabla ya hukumu, huyo Silaa anayekaa vichochoroni usiku ana muda wa kutoshaha kufanya hivyo, kama jamaa aliingia kwa nguvu ya mahakama, huyo mama hatamaliza mwezi ndani ya nyumba hiyo, mahakama itamtoa, na Jerry akikoroma ataitwa mahakamani ajieleze kwa nini asifungwe kwa kudharau mahakama.

Mambo ya alikufa lini, kama hakuyasema mahakamani, ni kazi bure kwa sasa

Nvhimbi na Makala wamesema mambo ya Mahakamani yasiingiliwe, yeye anajitoa akili
 
Heri ndege mmoja mkononi kuliko elfu porini
Miaka zaidi ya 60 mliyoko madarakani haijatosha Hadi muombee muda wa ziada?

Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ni sasa.

KATIBA mpya itamsaidia Jerry Slaa kuwa Bora zaidi kiutendaji.
 
Katiba mpya haibadili upumbavu wa mtu, kama alisoma chuo, bado mpumbavu, katiba iitambadili nini? Sana sana katiba itamuondoa hapo alipo kwa kuwa ubwege wake utazidi kudhihiri

Mezani ana sera ya ardhi, mbona hatumuoni akiweka mpango mkakati wa kuitekeleza?
 
Ikiwa case Iko mahakamani,

Huyo Mushi anapata wapi uhalali wa kuikalia nyumba ilhali hati halali zinadai nyumba ni Mali ya marehemu?

Huu uonevu mwisho 2025, tunaingia msimu mpya kabisa.

Tusubiri.
 
Ikiwa case Iko mahakamani,

Huyo Mushi anapata wapi uhalali wa kuikalia nyumba ilhali hati halali zinadai nyumba ni Mali ya marehemu?

Huu uonevu mwisho 2025, tunaingia msimu mpya kabisa.

Tusubiri.
Kama suala liko mahakamani, Silaa ana haki ipi ya kuliingilia? Huo ndio upumbavu nilikuwa nausema.
 
Unaweza kutuambia Waziri Rizwan KIKWETE alifanya nini kuhusu hizo sera Kwa muda wote alipokuwa ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…