jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Hata huyo aliyedhulumiwa na Mmasi alishinda kesi Mahakamani, sema Mmasi akawa mbishi tu kutii Hukumu ya Mahakama Kuu!!Nilishadhulumiwa, nikaenda mahakamani, nikashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo aliyedhulumiwa na Mmasi alishinda kesi Mahakamani, sema Mmasi akawa mbishi tu kutii Hukumu ya Mahakama Kuu!!Nilishadhulumiwa, nikaenda mahakamani, nikashinda
Hukumu ya mahakama inafanyiwa kazi na mahakama yenyewe, huo ni muhimili unajitegemea, hauhitaji msaada wa waziri au mtendaji wa mtaa, una court brokersHata huyo aliyedhulumiwa na Mmasi alishinda kesi Mahakamani, sema Mmasi akawa mbishi tu kutii Hukumu ya Mahakama Kuu!!
Huyo muigizaji tu hana lolote. Wazir badala ya kusimamia sera anagawa hati? Asijue kwamba hati na migoro ya ardhi ni matokeo ya sera mbovuSalaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe kusema ana kitu kinachoonekana, na atafika mbali, tuendelee kumwombea.
Nimesikiliza Kwa Umakini jinsi alovyotatua case ya Tajiri aitwaye Mzee Mmassy aliyenunua nyumba Kwa marehemu aliyeko kaburini, yaani document zinaonyesha marehemu akiwa kaburini alisaini mauziano na kumuuzia nyumba tajiri Mmassy, na jinsi alivyotatua case Ile kwa uwazi Kwa kutumia nyaraka halali katika ofisi ya ardhi, na jinsi alivyoweza kuwarudishia nyumba watoto na mke wa marehemu nyumba Yao, kiukweli Mungu aendelee kumjalia uhai na AFYA na baraka kiongozi huyu.
Nilifanikiwa pia kufuatilia jinsi alivyosaidia kutatua mgogoro ulioletwa na Msama, Kwa kutomtendea HAKI yake mama yule aliyedai kiwanja chake, pia nimeona ufuatiliaji, uthubutu na uchapakazi wa Waziri huyu kijana Jerry Slaa.
Ni maombi yangu, akae chini na viongozi wenzie katika wizara yake na kuja na mpango MIKAKATI wa kutatua migogoro ya ardhi Nchi nzima bila kuwepo haja ya kusafiri huku na huko, uwepo mfumo mzuri na WA haraka zaidi kuwafikia wananchi na kutatua migogoro hiyo ya ardhi.
So far, KAZI imeonekana inafanyika,
Mungu Mbariki Waziri huyu Jerry Slaa,
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Ameeen.
Source: Milard Ayo tv.
Karibuni🙏
Waliofanyiwa hivi nchi nzima wapo wangapi na waziri amebomoa nyumba ngapi??Hata huyo aliyedhulumiwa na Mmasi alishinda kesi Mahakamani, sema Mmasi akawa mbishi tu kutii Hukumu ya Mahakama Kuu!!
Sasa kama hati miliki ya ardhi umepewa na Commissioner wa Aridhi ,sasa Commissioner anashindwaje pia kukukabidhi eneo lako,maana yeye ndiyo analijua vizuri sana kuliko hiyo Mahakama unayosema!! Nenda kasome mamlaka ya Commissioner wa Aridhi, na utaelewa majukumu yake kisheria!!Hukumu ya mahakama inafanyiwa kazi na mahakama yenyewe, huo ni muhimili unajitegemea, hauhitaji msaada wa waziri au mtendaji wa mtaa, una court brokers
Nilichogundua ninabishana na mtu wa shule za kataSasa kama hati miliki ya ardhi umepewa na Commissioner wa Aridhi ,sasa Commissioner anashindwaje pia kukukabidhi eneo lako,maana yeye ndiyo analijua vizuri sana kuliko hiyo Mahakama unayosema!! Nenda kasome mamlaka ya Commissioner wa Aridhi, na utaelewa majukumu yake kisheria!!
Tatizo lako wwe umekariri sana vitabu hadi unatoka nje ya uhalisia!!Nilichogundua ninabishana na mtu wa shule za kata
Achana na Mali za umma, kuna mali binafsi za watuErythrocyte anahoji,
Lini utatatua mgogoro wa CCM kupora na kujimilikisha Mali za umma kama viwanja vya mpira kama CCM kirumba nk nk?
Sasa atatue vipi ikiwa watu hawajampelekea malalamiko?Achana na Mali za umma, kuna mali binafsi za watu