Waziri Jerry Silaa ukishaapishwa, tunaomba utuletee Star Link Tanzania

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Sema Silaa anajihidigi kamsimamo. Kila la kheri kwake.
 
Itakuwa ni habari njema sana hasa baada ya TTCL kulala usingizi.....
TTCL wanasubiri hadi apewe Mzungu (mwenye elimu ya kawaida tu) aje achukue mkopo Bank zetu asambazie watu, akipiga mabilioni .....tuna anza kupiga kelele kuwa watanzania wapewe waendeshe wenyewe....kwa nini wasiendeshe wenyewe sasa hivi?
 
Ebana wanajamvi inakuwaje?

Kizingiti (the stumbling block) kimeshanyofolewa. Starlink ya Elon Musk kuanza kazi karibuni nchini.

Jerry hatatuangusha.
Starlink inatumika siku nyingi tu mkuu, hata hapo Sirali mpaka accessories za stalink zinapatikana

wadau wananunua kisii siku miingi!...' Kuna majirani wawili maeneo nilipo hapa nyakato, Mza wanatumia net ya starlink mwaka wa pili huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ